Leo nitagusia jambo moja matata sana ambalo linawasumbua watu wengi na wanaangaika kutatua tatizo hilo bila mafanikio chanya.
[emoji117]jambo hilo sio lingine bali ni tatizo la kutopata choo kikubwa, ukweli usiopingika wapo watu wengi sana wana changamoto hii huku wakihangaika kufakamia mapapai ili wakashushe mizigo lakini wanapata matokeo ya muda mfupi mwisho mwendo unaludi pale pale[emoji3][emoji3]
Unakuta mtu anakula milo yote mitatu lakini anakaa hata siku 3-7 na zaidi lakini hapati haja kubwa,unakuta mtu anajisikia kabisa kwenda kulikata gogo lakini akifika chooni anaambulia kutoa mishuzi tu mpaka majilani wanasikia.
Inafika hatua akiingia chooni tu wambea wanajiandaa kucheka maana washajua kitakachoendelea[emoji3][emoji3]mwengine anajisikia haja lakini akitaka kujisaidia anaambulia kutoa choo kigumu na chenye vipunje punje kama cha fundi mbuzi mla majani anakunya karanga[emoji238][emoji238][emoji238][emoji238]ndugu yangu hili ni tatizo tena ukijiona unatatizo hili jua wewe ni mgonjwa bado kulazwa tu.
Na tatizo hili chanzo chake kikubwa kinatokana na mmeng'enyo mbovu wa chakula hapo ndipo penye kasheshe ya zao hili maana kuna watu nyie ulaji wenu mnaujua wenyewe hivyo mjitahidi kupangilia ulaji mzuri
Ndugu zangu hili ni tatizo serious sana hii ndio hupelekea kupata kansa ya utumbo.
,kuumwa mgongo,kupata vidonda vya tumbo,tumbo kujaa gesi ,kwa wanaume kukosa nguvu za kiume.
Ukijiona unatatizo hili fanya tiba hii mapema sana kabla tatizo kuwa kubwa chukua vitunguu maji robo kilo 🧅utavimenya vizuri kisha vikate kate na kuvitwanga viwe laini ukimaliza pima maji lita moja changanya na hivyo vitunguu ulivyovitwanga na ubandike jikoni chemsha ichemke vizuri ,okoa kunywa kwa makadilio mpaka supu hiyo iishe siku hiyo hiyo.
Utafanya siku 7 inamaana kila siku utaandaa vitunguu robo unachemsha tena na maji lita 1 unakunywa hiyo juisi uimalize siku hiyo utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki moja choo kitafunguka.