Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tafuta kitu inaitwa Castor Oil[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sema ukae karibu na choo maana ikianza kuendesha ni balaa.. Bisacodyl huwa inasaidia sema inachelewa kuanza kazi

Ukifanikiwa Penda kunywa maji ya kutosha na Ukijisika kwenda haja bhasi nenda usijizuiee maana hii hupelekea maji Kunyonywa toka kwenye Kinyesi na kupata choo kigumu.. penda kula mapapai Pia ukiweza rafuta Lactulose ni dawa ya kufanya upate choo kilaini.. Jitahdi tatizo liishe likiwa linajirudia rudia utaishia kupata Bawasili.
 
Nashukuru nimeshaitumia hiyo Castro oil. Lakini maumivi wakati wa ku push mzigo ilikua sio mchezo [emoji51][emoji51]🥱[emoji3062][emoji3062] maana ni jasho
 
Unahitaji laxatives....... Nenda pharmacy kubwa mwambie nipatie Laxatives brand nzuri watakupa brand walizo nazo.

Ila tangazo lako limekaa kiuchafu sana mimi limenipa kinyaa sana. Ningekuwa nakujua hata mkono nisingekupa....
mkuu Samcezar hii ni dawa ya kumsaidia mtu kupata choo kama ana tatizo la kutopata choo?
 
P
Ndugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindikana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA.
Pakaa sabuni Ni dk 2-5 TU kitatoka halafu punguza kula machapati na mapera
 
Unahitaji laxatives....... Nenda pharmacy kubwa mwambie nipatie Laxatives brand nzuri watakupa brand walizo nazo.

Ila tangazo lako limekaa kiuchafu sana mimi limenipa kinyaa sana. Ningekuwa nakujua hata mkono nisingekupa....
Mikono inashika vingi sana ambavyo hatuvijui, ndiyo maana nawaelewa sana wazungu kula na vijiko, visu na umma.
 
Ka
Ndugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindikana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA.
Kama ulikwishapata choo leta mrejesho mkuu
 
Ulaji wa nafaka zakukoboa huleta shida hii pendelea mboga za majani na matunda kwa wingi. Tumia biringanya mara nyingi hulainisha choo.
 
Mkuu Pole Sana naamin utarecover MUNGU atakuponya pia ucsahau kumuomba MUNGU maana hufanya njia pasipo njia
 
Salama! Mimi ni kijana wa umri miaka27 nasumbuliwa na changamoto ya kutopata choo kwa wakati ,najamba kama kawaida,ila inawez pita ata SKU 3 mfululizo ncipate tena kwa kujirudia,choo nkifankiwa kupata n cha shida sana,nmeend kituo cha afya jumamosi nmepew dawa nkazimaliza nkaharisha SKU mbili nkapata choo SKU ilofuata vzuri,sasa hali imerud kama mwanzo cpati tena ata nikibanwa nkifika chooni cfanyi chochote,je nn sababu za hili tatizo,na je nifanyaje ili hali irud kama mwanzo?
 
miaka27 nasumbuliwa na changamoto ya kutopata choo kwa wakati ,najamba kama kawaida,ila inawez pita ata SKU 3 mfululizo
Tatizo huanzia kwenye aina ya chakula unachotumia mara kwa mara, Hasa vyakula vya wanga kama Wali (mfululizo) na kukosekana kwa mboga mboga kwa wingi kwenye mlo wako kama mchicha, tembele etl.
 
Kuna maji ya moto ya tangawizi kali kikombe 1 asubuhi na 2 usiku kabla ya kulala. Utanipa matokeo.
 
Mtu hutafsiriwa kuwa na tatizo la ugumu wa choo (Choo kufunga/ constipation) pale anapokuwa anapata haja kubwa chini ya mara 3 kwa wiki, au pindi anapokuwa anatoa haja kubwa isiyo laini inayoambatana na maumivu makali.

7E968399-C201-4A44-B4F9-D83F2ADD10D9.jpeg

Hakuna mtu anayefurahia adha hii inayoleta usumbufu mkubwa pamoja na mawazo mengi pindi mwili unapohitaji kuikamilisha.

Tumia njia hizi kujikinga tatizo la choo kigumu-
  • Kunywa maji ya kutosha kila siku, pia Kula matunda na mboga za majani. Husaidia kulainisha choo
  • Fanya mazoezi ya mwili, huongeza mijongeo ya misuli ya mfumo wa chakula
  • Tumia mtindi, huwa na bakteria wazuri wanaoweza kusaidia kuboresha mmeng’enyo wa chakula.
  • Kunywa kahawa, huongeza miondoko ya mawimbi ya chini ya mfumo wa chakula.
  • Kwenda chooni haraka pasipo kupuuza pindi unapohisi uhitaji wa kujisaidia
Chanzo: Medical News Today/Cleverand Clinic
 
Back
Top Bottom