Marley joseph
Senior Member
- Feb 9, 2019
- 126
- 139
Danm[emoji16]Hebu picha
Danm[emoji16]Hebu picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana niamini tu [emoji28] kwamba hali ni maumivi.Danm[emoji16]
Nashukuru nimeshaitumia hiyo Castro oil. Lakini maumivi wakati wa ku push mzigo ilikua sio mchezo [emoji51][emoji51]🥱[emoji3062][emoji3062] maana ni jashoTafuta kitu inaitwa Castor Oil[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sema ukae karibu na choo maana ikianza kuendesha ni balaa.. Bisacodyl huwa inasaidia sema inachelewa kuanza kazi
Ukifanikiwa Penda kunywa maji ya kutosha na Ukijisika kwenda haja bhasi nenda usijizuiee maana hii hupelekea maji Kunyonywa toka kwenye Kinyesi na kupata choo kigumu.. penda kula mapapai Pia ukiweza rafuta Lactulose ni dawa ya kufanya upate choo kilaini.. Jitahdi tatizo liishe likiwa linajirudia rudia utaishia kupata Bawasili.
DOOO HAYO KASTRO OIL MKUU YANA LADHA MBAYA INAYOKIFU VIBAYA SANA. SIO CHUNGU BT NI MBAYA KUNA SIKU NUSU NITAPIKE.
mkuu Samcezar hii ni dawa ya kumsaidia mtu kupata choo kama ana tatizo la kutopata choo?Unahitaji laxatives....... Nenda pharmacy kubwa mwambie nipatie Laxatives brand nzuri watakupa brand walizo nazo.
Ila tangazo lako limekaa kiuchafu sana mimi limenipa kinyaa sana. Ningekuwa nakujua hata mkono nisingekupa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi huumwi umekuja kuchangamsha jukwaa, ukiumwa utakunywa hata oil chafu ukihakikishiwa ni daw.
Hiyo juice ya ukwaju ni Kiboko, mara moja itazibua... Hiyo shida ikiisha ukumbuke kunywa maji mengi, kula mbogamboga na matunda kwa wingi...Asante
Pakaa sabuni Ni dk 2-5 TU kitatoka halafu punguza kula machapati na maperaNdugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindikana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA.
Mikono inashika vingi sana ambavyo hatuvijui, ndiyo maana nawaelewa sana wazungu kula na vijiko, visu na umma.Unahitaji laxatives....... Nenda pharmacy kubwa mwambie nipatie Laxatives brand nzuri watakupa brand walizo nazo.
Ila tangazo lako limekaa kiuchafu sana mimi limenipa kinyaa sana. Ningekuwa nakujua hata mkono nisingekupa....
Kama ulikwishapata choo leta mrejesho mkuuNdugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindikana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA.
Tatizo huanzia kwenye aina ya chakula unachotumia mara kwa mara, Hasa vyakula vya wanga kama Wali (mfululizo) na kukosekana kwa mboga mboga kwa wingi kwenye mlo wako kama mchicha, tembele etl.miaka27 nasumbuliwa na changamoto ya kutopata choo kwa wakati ,najamba kama kawaida,ila inawez pita ata SKU 3 mfululizo