Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978
1622706328501.png

Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Baadhi ya Maoni yaliyotolewa
Natural Cures For Anosmia

TIBA YA TATIZO LA KUPOTEZA HISIA ZA KUNUSA HARUFU YA KITU

The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences.

The olfactory nerves situated in the nose detect odors with the help of a molecule which carries the odor from a substance. When the olfactory nerves are stimulated, the nerve cells send a message to the brain which detects the odor and identifies the particular smell. When these nerve cells get damaged due to injury to the nose, sinus problems, exposure to toxic chemicals, certain medications and diseases and nasal polyps, the ability to smell is impaired.

View attachment 1469601
Garlic

Garlic has astounding health giving benefits. Its healing and curative powers are simply phenomenal. Its potent anti-inflammatory, antibacterial and antiviral properties destroy all kinds of infection, clear the nasal blockage and reduce the inflammation in the olfactory nerves. Mince three cloves of garlic and swallow it with some water every morning.

Chukuwa punje 3 za Kitunguu Saumu meza na maji ya kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7.

View attachment 1469602
Lemon Juice
Lemons are very high in vitamin C which is a powerful antioxidant. It boosts the body’s immunity and enables it to fight infections. Squeeze the juice of one lemon into a glass of warm water. Add two teaspoons of honey and drink this warm mixture, three times daily. The inflamed nerves will be soothed and the nasal passages will be soon unclogged.
Tengeneza juisi ya Limao changanya na maji ya moto kisha tia vijiko 2 vya Asali safi ya nyuki koroga vizuri kunywa hiyo juisi kwa siku kunywa mara 3 Asubuhi kabla ya kula kitu mchana na usiku tumia hiyo dawa kwa siku 7 kama hujapona tumia siku 14 utakuwa umesha pona maradhi yako uguwa pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah mkuu!!. nliumwa ns kupoteza harufu na pia kichwa kilikua knanisumbua ila now atleast nlkaa siku 5.. demu wangu na mdgo wake hawasikii harufu siku ya 4.. nna mchizi anaumwa kikohozi nae hasikii harufu tangu trh 25, ... mkuu wangu wa kitengo alianzaga yy akaumwa siku 4 baadae ikakaa fresh!

Jirani yangu hapa pia nlimsikia ila nkapotezea, nadhani inaweza kua tuna resist corona, hyo ni theory tu lakini maana mazngira niliyopo mm binafsi ni very risky!.
 
dah...wewe utakuwa mkazi wa jiji la makonda tu...kiukweli ata mimi nipo kwenye hali hiyo yapata wiki ya pili sasa...nimetumia dawa aina ya GOODMORNING...imenisaidia kidogo ila hali ya kutokuhisi harufu na kutokupata radha ya chakula bado...ipo...nadhani ni covid tu hii...
 
Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah mkuu!!. nliumwa ns kupoteza harufu na pia kichwa kilikua knanisumbua ila now atleast nlkaa siku 5.. demu wangu na mdgo wake hawasikii harufu siku ya 4.. nna mchizi anaumwa kikohozi nae hasikii harufu tangu trh 25, ... mkuu wangu wa kitengo alianzaga yy akaumwa siku 4 baadae ikakaa fresh!.. jiran yangu hapa pia nlimsikia ila nkapotezea, nadhani inaweza kua tuna resist corona, hyo ni theory tu lakini!!.. maana mazngira niliyopo mm binafsi ni very risky!.

Angalieni kuna uzi hili hili jukwaa una page kama 200 ,wengi waliyokutana na hiyo hali na ni COVID katika hatua za mwisho,tafuteni huo uzi wengi wametoa ushauri
 
Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema eti hyo ni dalili kuu kabsa na highest ya CoV-19. Kama utabisha google utaona.au ukiingia kwenye tovut ya wizara ya afya.
 
yeah mkuu!!. nliumwa ns kupoteza harufu na pia kichwa kilikua knanisumbua ila now atleast nlkaa siku 5.. demu wangu na mdgo wake hawasikii harufu siku ya 4.. nna mchizi anaumwa kikohozi nae hasikii harufu tangu trh 25, ... mkuu wangu wa kitengo alianzaga yy akaumwa siku 4 baadae ikakaa fresh!.. jiran yangu hapa pia nlimsikia ila nkapotezea, nadhani inaweza kua tuna resist corona, hyo ni theory tu lakini!!.. maana mazngira niliyopo mm binafsi ni very risky!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema eti hyo ni dalili kuu kabsa na highest ya CoV-19. Kama utabisha google utaona.au ukiingia kwenye tovut ya wizara ya afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilianza kujisikia vibaya tarehe moja nikawa nahisi kama nina homa kali na kichwa kinauma balaa, nikaenda kupima nikaambiwa niko fresh lakini nikapewa diclopar ili kutuliza maumivu ya kichwa lakini mpaka leo pua zimepoteza uwezo wa kunusa na kutambua kama hapa kuna harufu nzuri au mbaya siku ya tisa leo na chakula sijwahi pata ladha yake toka Siku hiyo mpaka leo yaani nakula tu il nisife.
 
Yaani harufu inakata inarudi utafikiri mitandao yetu au umeme.

Kama ni hivyo basi mmerudi tena kwenye afya njema wala msiogope tena ila tahadhari tena muhimu maana hawa wadudu wanabadilika na kuwa wakali zaidi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom