Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilianza kujisikia vibaya tarehe moja nikawa nahisi kama nina homa kali na kichwa kinauma balaa, nikaenda kupima nikaambiwa niko fresh lakini nikapewa diclopar ili kutuliza maumivu ya kichwa lakini mpaka leo pua zimepoteza uwezo wa kunusa na kutambua kama hapa kuna harufu nzuri au mbaya siku ya tisa leo na chakula sijwahi pata ladha yake toka Siku hiyo mpaka leo yaani nakula tu il nisife
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mkuu.yeah mkuu!!. nliumwa ns kupoteza harufu na pia kichwa kilikua knanisumbua ila now atleast nlkaa siku 5.. demu wangu na mdgo wake hawasikii harufu siku ya 4.. nna mchizi anaumwa kikohozi nae hasikii harufu tangu trh 25, ... mkuu wangu wa kitengo alianzaga yy akaumwa siku 4 baadae ikakaa fresh!.. jiran yangu hapa pia nlimsikia ila nkapotezea, nadhani inaweza kua tuna resist corona, hyo ni theory tu lakini!!.. maana mazngira niliyopo mm binafsi ni very risky!.
Hatari hii mkuu.dah...wewe utakuwa mkazi wa jiji la makonda tu...kiukweli ata mimi nipo kwenye hali hiyo yapata wiki ya pili sasa...nimetumia dawa aina ya GOODMORNING...imenisaidia kidogo ila hali ya kutokuhisi harufu na kutokupata radha ya chakula bado...ipo...nadhani ni covid tu hii...
nlivo google nmeikuta kwenye "fast recovering people ila sijaridhika na hilo naendelea ku research zaidi"
Nimeshakula mavitunguu swaum tangawizi bado haijarejea ngoja niache mwili upambane!
ha ha ha ha ha...pole sana mkuu!! ha ha ha ha.Hiyo hali imenikumba nina kama mwezi sasa jana nimeishia kula maharage yaliyochacha bila kujua wifu ndio alikuja kunisanua kua yale maharage yalikua yamechacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilianza kujisikia vibaya tarehe moja nikawa nahisi kama nina homa kali na kichwa kinauma balaa, nikaenda kupima nikaambiwa niko fresh lakini nikapewa diclopar ili kutuliza maumivu ya kichwa lakini mpaka leo pua zimepoteza uwezo wa kunusa na kutambua kama hapa kuna harufu nzuri au mbaya siku ya tisa leo na chakula sijwahi pata ladha yake toka Siku hiyo mpaka leo yaani nakula tu il nisife
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ilikata kama siku 3 na jana nimeanza kuisikia kwa mbaliYaani harufu inakata inarudi utafikiri mitandao yetu au umeme
Kama ni hivyo basi mmerudi tena kwenye afya njema wala msiogope tena ila tahadhari tena muhimu maana hawa wadudu wanabadilika na kuwa wakali zaidi
Sent from my iPhone using Tapatalk
Pole sana mkuu.Mimi nilianza kujisikia vibaya tarehe moja nikawa nahisi kama nina homa kali na kichwa kinauma balaa, nikaenda kupima nikaambiwa niko fresh lakini nikapewa diclopar ili kutuliza maumivu ya kichwa lakini mpaka leo pua zimepoteza uwezo wa kunusa na kutambua kama hapa kuna harufu nzuri au mbaya siku ya tisa leo na chakula sijwahi pata ladha yake toka Siku hiyo mpaka leo yaani nakula tu il nisife
Sent using Jamii Forums mobile app
mi naenda mwezi sasa....sijui harufu ya kitu...hata nikienda kukata gogo ....najihisi kama pua zimetengeneza filter hivi...napata oxygen harufu nyingine hola.
nilipigwa kamafua ka 5G nikadhani ni hali yangu ya kawaida ,bcoz nina alerg nikapambana kama siku tano mwendo wa piriton,codril na panadol..hali ikaa sawa kidogo baada ya hapo inmepoteza uwezo wa kunusa completely though kwa sasa siumwi wala nini...ila napata mashaka hali yangu ya uwezo wa kunusa itarud lini....kama ni hizi ni moja ya dalili za corona basi wana DSM wengi tuna corona...we have to embrace for impact...
Ni kweli mkuu.Ukiona una dalili hiyo jaribu kukinga wengine hasa wenye magonjwa sugu na wazee