Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978

Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Baadhi ya Maoni yaliyotolewa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah mkuu!!. nliumwa ns kupoteza harufu na pia kichwa kilikua knanisumbua ila now atleast nlkaa siku 5.. demu wangu na mdgo wake hawasikii harufu siku ya 4.. nna mchizi anaumwa kikohozi nae hasikii harufu tangu trh 25, ... mkuu wangu wa kitengo alianzaga yy akaumwa siku 4 baadae ikakaa fresh!

Jirani yangu hapa pia nlimsikia ila nkapotezea, nadhani inaweza kua tuna resist corona, hyo ni theory tu lakini maana mazngira niliyopo mm binafsi ni very risky!.
 
dah...wewe utakuwa mkazi wa jiji la makonda tu...kiukweli ata mimi nipo kwenye hali hiyo yapata wiki ya pili sasa...nimetumia dawa aina ya GOODMORNING...imenisaidia kidogo ila hali ya kutokuhisi harufu na kutokupata radha ya chakula bado...ipo...nadhani ni covid tu hii...
 
Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalieni kuna uzi hili hili jukwaa una page kama 200 ,wengi waliyokutana na hiyo hali na ni COVID katika hatua za mwisho,tafuteni huo uzi wengi wametoa ushauri
 
Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema eti hyo ni dalili kuu kabsa na highest ya CoV-19. Kama utabisha google utaona.au ukiingia kwenye tovut ya wizara ya afya.
 
Wanasema eti hyo ni dalili kuu kabsa na highest ya CoV-19. Kama utabisha google utaona.au ukiingia kwenye tovut ya wizara ya afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilianza kujisikia vibaya tarehe moja nikawa nahisi kama nina homa kali na kichwa kinauma balaa, nikaenda kupima nikaambiwa niko fresh lakini nikapewa diclopar ili kutuliza maumivu ya kichwa lakini mpaka leo pua zimepoteza uwezo wa kunusa na kutambua kama hapa kuna harufu nzuri au mbaya siku ya tisa leo na chakula sijwahi pata ladha yake toka Siku hiyo mpaka leo yaani nakula tu il nisife.
 
Yaani harufu inakata inarudi utafikiri mitandao yetu au umeme.

Kama ni hivyo basi mmerudi tena kwenye afya njema wala msiogope tena ila tahadhari tena muhimu maana hawa wadudu wanabadilika na kuwa wakali zaidi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…