Pole aisee mie nimejifukiza na nna kuchemsha malimao na tangawizi na vitunguu Saumu nakunywea lakini pia nimesoma kuwa unaweza kufanya mazoezi ya kunusa vitu mbali mbali ku stimulate mfumo wa harufu.Mkuu nina tatizo kama lako... Ni mwezi asaiv si sense harufu ya kitu chochote aiseeh!
Ukipata ufumbuzi nitag...
Shukrani! Ngoja niifanyie kazi, maana inatisha sana..Pole aisee mie nimejifukiza na nna kuchemsha malimao na tangawizi na vitunguu Saumu nakunywea lakini pia nimesoma kuwa unaweza kufanya mazoezi ya kunusa vitu mbali mbali ku stimulate mfumo wa harufu.
Kikubwa pia kusali na kuomba Mungu akuponye....hii hali sio nzuri hata kidogo inatisha.Mungu ni mwema atatuponya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanusa hadi nini????Nimecheka sana....inanipa relief though kuona mtu ambae ame experience hii hali na amepona.Utapona mkuu, hata mm niliumwa hivyo ila kwasasa nipo fiti nanusa hadi dhambi.
Pole sana. Mie nimezaliwa hivyo sijawahi kusikia harufu yeyote tangu nizaliweNina siku ya pili pua zangu zimepoteza uwezo wa kupata harufu yoyote. Hii hali inanitisha maana sijawahi kuipata wala kuiskia kwa mtu.Achana na ile ya kusema nina mafua siskii harufu hii sio hiyo.
Nimetumia dawa za Malaria Malafin na za infection Theoflox mwanzoni mwa wiki.
Hata mtu apite perfume kali au nikae sehemu ilopulizwa dawa yani siskii kitu.Chakula ndo kabisa siskii harufu zaidi ya kutaste hiki kina chumvi au sukari au pili pili .
Aliyewahi kupata hili tatizo naomba aniambie liliishaje?Je Kuna home remedies?
I feel numb yani kama I'm lifeless hivi.
Binafsi nimepitia hii hali tangu J.mos ya week ileeee achana na ya juzi.Nina siku ya pili pua zangu zimepoteza uwezo wa kupata harufu yoyote. Hii hali inanitisha maana sijawahi kuipata wala kuiskia kwa mtu.Achana na ile ya kusema nina mafua siskii harufu hii sio hiyo.
Nimetumia dawa za Malaria Malafin na za infection Theoflox mwanzoni mwa wiki.
Hata mtu apite perfume kali au nikae sehemu ilopulizwa dawa yani siskii kitu.Chakula ndo kabisa siskii harufu zaidi ya kutaste hiki kina chumvi au sukari au pili pili .
Aliyewahi kupata hili tatizo naomba aniambie liliishaje?Je Kuna home remedies?
I feel numb yani kama I'm lifeless hivi.
Nmepata tatizo ya hiki kitu kwa week na nusu...sikutumia chochote naona nmeanza kurudi kawaida.Mkuu nina tatizo kama lako... Ni mwezi asaiv si sense harufu ya kitu chochote aiseeh!
Ukipata ufumbuzi nitag...
Very scary apparently watu kama wawili wameniambia ni mild case ya Corona sasa sijui wala sielewi maana sijapima na sijatamani kupima.Kabla ya hii hali niliumwa nikapima Malaria na UTI japo pia kuna colleague wangu nae hii hali imempata.Nmepata tatizo ya hiki kitu kwa week na nusu...sikutumia chochote naona nmeanza kurudi kawaida.
Mm nilikuwa hata radha ya vyakula imepotea sema vya sukari tu ndo nilikuwa napata na kutambua
Hata mm ndo nmeanza kunusa nusa hivi....nmeanza kuhisi harufu ya mafuta ya kujipakaa...perfume.Very scary apparently watu kama wawili wameniambia ni mild case ya Corona sasa sijui wala sielewi maana sijapima na sijatamani kupima.Kabla ya hii hali niliumwa nikapima Malaria na UTI japo pia kuna colleague wangu nae hii hali imempata...
Yani roho inaniuma imagine unakula chips kuku all you can taste ni chumvi tu ila hupati ladha ya chakulaHata mm ndo nmeanza kunusa nusa hivi....nmeanza kuhisi harufu ya mafuta ya kujipakaa...perfume.
Ila kuanzia jana kurudi nyuma hata harufu iweje kali nilikuwa sisense chochote
Kimasihara hivyo mkuu
Pole sana mkuu.hili dude tunaenda nalo tuu hivyo hivyo.Na hilo ni lenyewe .Yani kuna vitu unaweza kuvichukulia poa lakini leo siku ya 5 sisikii ladha ya chakula wala Harufuu yani hata kuku hawana maana tena...!! Sina dalili ya mafua wala kikohozii najua ni ilee changamotoo yetu sema bora uhai.
Unahisi ni changamoto gani? Kama unajihisi tafauti kwanini usiekimbilie Hospitali kwa haraka?Yani kuna vitu unaweza kuvichukulia poa lakini leo siku ya 5 sisikii ladha ya chakula wala Harufuu yani hata kuku hawana maana tena...!! Sina dalili ya mafua wala kikohozii najua ni ilee changamotoo yetu sema bora uhai.