Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Hiyo inasemwa kuwa ni Dalili mojawapo ya Corona.

Jaribu kutumia zile remedy za Corona zilizokuwa zinasemwa na wataalam kisha uangalie matokeo.
 
Mkuu nina tatizo kama lako... Ni mwezi asaiv si sense harufu ya kitu chochote aiseeh!

Ukipata ufumbuzi nitag...
 
Pole aisee mie nimejifukiza na nna kuchemsha malimao na tangawizi na vitunguu Saumu nakunywea lakini pia nimesoma kuwa unaweza kufanya mazoezi ya kunusa vitu mbali mbali ku stimulate mfumo wa harufu.
Kikubwa pia kusali na kuomba Mungu akuponye....hii hali sio nzuri hata kidogo inatisha.Mungu ni mwema atatuponya
 
Shukrani! Ngoja niifanyie kazi, maana inatisha sana..
 
Utapona mkuu, hata mm niliumwa hivyo ila kwasasa nipo fiti nanusa hadi dhambi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanusa hadi nini????Nimecheka sana....inanipa relief though kuona mtu ambae ame experience hii hali na amepona.
chakapori ulitumia nini hadi kupona na kurudi hali ya kawaida? Na je hii ulikaa kwa muda gani na hili tatizo?
 
Nina siku ya pili pua zangu zimepoteza uwezo wa kupata harufu yoyote. Hii hali inanitisha maana sijawahi kuipata wala kuiskia kwa mtu.Achana na ile ya kusema nina mafua siskii harufu hii sio hiyo.
Nimetumia dawa za Malaria Malafin na za infection Theoflox mwanzoni mwa wiki.
Hata mtu apite perfume kali au nikae sehemu ilopulizwa dawa yani siskii kitu.Chakula ndo kabisa siskii harufu zaidi ya kutaste hiki kina chumvi au sukari au pili pili .
Aliyewahi kupata hili tatizo naomba aniambie liliishaje?Je Kuna home remedies?
I feel numb yani kama I'm lifeless hivi.
Pole sana. Mie nimezaliwa hivyo sijawahi kusikia harufu yeyote tangu nizaliwe
 
Nina siku ya pili pua zangu zimepoteza uwezo wa kupata harufu yoyote. Hii hali inanitisha maana sijawahi kuipata wala kuiskia kwa mtu.Achana na ile ya kusema nina mafua siskii harufu hii sio hiyo.
Nimetumia dawa za Malaria Malafin na za infection Theoflox mwanzoni mwa wiki.
Hata mtu apite perfume kali au nikae sehemu ilopulizwa dawa yani siskii kitu.Chakula ndo kabisa siskii harufu zaidi ya kutaste hiki kina chumvi au sukari au pili pili .
Aliyewahi kupata hili tatizo naomba aniambie liliishaje?Je Kuna home remedies?

I feel numb yani kama I'm lifeless hivi.
Binafsi nimepitia hii hali tangu J.mos ya week ileeee achana na ya juzi.

Ila leo ndo nimeanza kunusa. Nilikuwa hata radha ya vitu ukiachana na vile vya sukari tu ila radha ta vingine ilikuwa imepotea.
Leo yaani ndo nimeanza kuhisi mabadiliko...sijatumia chochote ila nilikuwa najiuliza ni nini hiki
 
Mkuu nina tatizo kama lako... Ni mwezi asaiv si sense harufu ya kitu chochote aiseeh!

Ukipata ufumbuzi nitag...
Nmepata tatizo ya hiki kitu kwa week na nusu...sikutumia chochote naona nmeanza kurudi kawaida.

Mm nilikuwa hata radha ya vyakula imepotea sema vya sukari tu ndo nilikuwa napata na kutambua
 
Very scary apparently watu kama wawili wameniambia ni mild case ya Corona sasa sijui wala sielewi maana sijapima na sijatamani kupima.Kabla ya hii hali niliumwa nikapima Malaria na UTI japo pia kuna colleague wangu nae hii hali imempata.

Mimi leo kwa mbali sana nimeanza kuskia harufu ya vicks (pipi) na ile ya kupaka yani naiskia kwa mbali af na perfume yangu pia naiskia kwa mbali sanaaaa naona issa good sign.Namshukuru Mungu maana aiseee nimewaza mengi. Kitu kama harufu we take it for granted lakini ikipotea unakosa Furaha maana huskii kitu hata asimame na mzoga unaona fresh tu.

Sijui ni tatizo gani maybe a viral infection of some sort....I believe itapita na naomba Mungu isinirudie.

Poleni mlopatwa na hii hali
 
Very scary apparently watu kama wawili wameniambia ni mild case ya Corona sasa sijui wala sielewi maana sijapima na sijatamani kupima.Kabla ya hii hali niliumwa nikapima Malaria na UTI japo pia kuna colleague wangu nae hii hali imempata...
Hata mm ndo nmeanza kunusa nusa hivi....nmeanza kuhisi harufu ya mafuta ya kujipakaa...perfume.
Ila kuanzia jana kurudi nyuma hata harufu iweje kali nilikuwa sisense chochote
 
Yani roho inaniuma imagine unakula chips kuku all you can taste ni chumvi tu ila hupati ladha ya chakula
 
Yani kuna vitu unaweza kuvichukulia poa lakini leo siku ya 5 sisikii ladha ya chakula wala Harufuu yani hata kuku hawana maana tena...!! Sina dalili ya mafua wala kikohozii najua ni ilee changamotoo yetu sema bora uhai.
 
Kimasihara hivyo mkuu

Pole sana mkuu.hili dude tunaenda nalo tuu hivyo hivyo.Na hilo ni lenyewe .

Nilishalipataga hilo dubwasha ila nilifanya yafuatayo

1.Sikukaa chini,nilikuwa napiga kazi zangu za kunitoa jasho sana
2.Nilikuwa nakula matunda sana matunda machachuchachu sana

3.Nilitumia sana ule mchemsho/Juice yetu ( Kitunguu maji,kitunguu suaumu,pilipili kichaa,tangawizi na limao)
4.Nilipenda sana kukaa kwenye jua siyo kivulini,wala sikupenda kulala.
 
Yani kuna vitu unaweza kuvichukulia poa lakini leo siku ya 5 sisikii ladha ya chakula wala Harufuu yani hata kuku hawana maana tena...!! Sina dalili ya mafua wala kikohozii najua ni ilee changamotoo yetu sema bora uhai.
Unahisi ni changamoto gani? Kama unajihisi tafauti kwanini usiekimbilie Hospitali kwa haraka?
 
Back
Top Bottom