Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Hahhaha pole mkuu
Binafsi! Sijawahi pitia hiyo khali
Swali Hamu ya kula unayo?
Katika hali ya kawaida ukikosa ladha mdomoni na kutohisi harufu puani hata hamu ya kula inakuwa haipo. Hata ukinywa maji au kula chakula ni kama takataka tu unaweka mdomoni maana huhisi chochote.

Harufu ina mchango mkubwa sana kumfanya mtu pia atamani kula kitu fulani
 
Amini boss yani hapana aisee nimesema bora ninngeumwa hata malaria nijue mojaa... hii hali shida sana
 
Amini boss yani hapana aisee nimesema bora ninngeumwa hata malaria nijue mojaa... hii hali shida sana
Naelewa chief maana nami hiyo hali imenipitia hivi karibuni. Walau naelewa inatesa kiasi gani.

Pole chief, utakaa sawa tu. Kikubwa jitahidi kunywa mchanganyiko na kuwa active utapona.
 
Thanks boss
Naelewa chief maana nami hiyo hali imenipitia hivi karibuni. Walau naelewa inatesa kiasi gani.

Pole chief, utakaa sawa tu. Kikubwa jitahidi kunywa mchanganyiko na kuwa active utapona.
 
Ladha ile ya kale kaharufu kwenyr supu ya utumbo huwa inanibariki sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…