Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maraa eehe ICU majangaaKimasihara hivyo mkuu
Hapana kwa kwelii waniachee tuuUsisahau kipimo ni 100 bucks
Unahisi ni changamoto gani? Kama unajihisi tafauti kwanini usiekimbilie Hospitali kwa haraka?
Pole
Katika hali ya kawaida ukikosa ladha mdomoni na kutohisi harufu puani hata hamu ya kula inakuwa haipo. Hata ukinywa maji au kula chakula ni kama takataka tu unaweka mdomoni maana huhisi chochote.Hahhaha pole mkuu
Binafsi! Sijawahi pitia hiyo khali
Swali Hamu ya kula unayo?
Katika hali ya kawaida ukikosa ladha mdomoni na kutohisi harufu puani hata hamu ya kula inakuwa haipo. Hata ukinywa maji au kula chakula ni kama takataka tu unaweka mdomoni maana huhisi chochote.
Harufu ina mchango mkubwa sana kumfanya mtu pia atamani kula kitu fulani
Tafuta tweeter ya Kabudi umuulize ile remedy kutoka Madagascar bado ipo?
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu TCRA wamekataza
Naelewa chief maana nami hiyo hali imenipitia hivi karibuni. Walau naelewa inatesa kiasi gani.Amini boss yani hapana aisee nimesema bora ninngeumwa hata malaria nijue mojaa... hii hali shida sana
Usisahau kipimo ni 100 bucks
Naelewa chief maana nami hiyo hali imenipitia hivi karibuni. Walau naelewa inatesa kiasi gani.
Pole chief, utakaa sawa tu. Kikubwa jitahidi kunywa mchanganyiko na kuwa active utapona.
Ladha ile ya kale kaharufu kwenyr supu ya utumbo huwa inanibariki sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana tuliaa