Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Nouma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi ilinichukua wiki 3.
Inakera kiaina, vumilia, cha msingi linda wanaokuzunguka.
[emoji854][emoji846]Inategemea, wengine mpaka miezi miwili.
Tupo wengi mm week ya pili hii mkuu sihisi harufu yoyote.Wakuu msaada hapa nina siku tano sisikii harufu wala ladha ya kitu chochote, najua tatizo ni nini na nishapata nafuu homa imeisha niko fiti kabisa. Shida yangu nahitaji kama kuna mtu alipitia changamoto hii ya kutosikia harufu yoyote alitumia kitu gani cha asili au dawa gani kurudisha ladha na harufu.
Tupo wengi mm week ya pili hii mkuu sihisi harufu yoyote.
Sijawahi vaa mkuu. Ila ninajifukiza week hii yoteUnavaa barakoa??
Pole sana. Mie nimezaliwa hivyo sijawahi kusikia harufu yeyote tangu nizaliwe