Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Na mimi pia nimepata Hii changamoto baada ya kuanza kutumia Mseto Juzi,leo ndio nimemaliza dozi ladha na harufu bado sisikii! Sina mafua,sikohoi,homa sina pia
 
Na mimi pia nimepata Hii changamoto baada ya kuanza kutumia Mseto Juzi,leo ndio nimemaliza dozi ladha na harufu bado sisikii! Sina mafua,sikohoi,homa sina pia
hili ni janga sasahivi
 
Mimi now ni muhanga alooh,msaada tutani wakuu sisikii harufu ya kitu yoyote hii kutokana na hapa mtaani wikiendi hii kuwa ni siku ya takataka sasa watu tunatoa taka nje then tunaweka mahala pamoja sasa akaja mdau mmoja na furushi lake watu wote wakaguna na kuziba pua CHA KUSHANGAZA MIMI NADUNDA SI NDIO NKASHANGAAPO KUWA NI TATIZO HILI
nkaenda kunusu namna gani vipi nayo sijasikia harufu
 
Hali ndio kama hiyo ndugu zangu...
 
Attachments

  • Screenshot_20210304-104450.png
    Screenshot_20210304-104450.png
    15.4 KB · Views: 5
Habari zenu wakuu. Sorry naomba msaada, Nimesumbuliwa na mafua Karibu wiki tatu, Baadae nikaamua kutumia dawa (vidonge vya punje nmevisahau jina) baadae mafua yamepungua yamebaki kidogo sana. Sasa siwezi kunusa harufu yeyote hii ni wiki ya pili sasa, Naombeni msaada wana jamvi maana hiii hali inanitesa sana sifurahii kabisa chakula.

Pia nina tatzo la miguu kuwaka moto nimeshapima mara kadhaa kisukari, Pressure vyote hivyo sina, Naombeeni msaada wa dawa gani naweza kutumia au kipimo gani nipime kugundua tatzo ni nini?

Asanteni.
 
Kipindi coroba imepamba moto hii kitu ilinitesa sana.Nimekaa kama mwezi sisikii harufu hata nkienda chooni kinyesi changu sisikii harufu!Nilitumia madawa zote lakini wapi,sema harufu iliamuwa kurejea yenyew ni hali inayokera ki ukweli.
 
Yaan inakera hatr
 
Habari zenu wakuu. Sorry naomba msaada, Nimesumbuliwa na mafua Karibu wiki tatu, Baadae nikaamua kutumia dawa (vidonge vya punje nmevisahau jina) baadae mafua yamepungua yamebaki kidogo sana....

Tarehe kama ya leo mwaka jana nilipata hili tatizo na lilidumu kwa miezi mitatu na kuniachia baadhi ya side effects. Litaisha lenyewe maana nilitumia tangawizi, malimao, vitunguu kila siku kwa miezi miwili ila nikakata tamaa nikaacha.

Kuhusu miguu kuwaka moto kila siku usiku loweka miguu kwenye maji ya moto uliyochanganya na magadi kwa siku tatu itaacha.
 
Asante sana mkuu.Hiv magadi yanauzwa kwenye maduka ya vyakula?
 
Nenda kwenye masoko ya vyakula utapata. Magadi/Chumvi ya mawe vyote vinafanya kazi.
Hapa nilipo nimefanikiwa kupata chumvi ya mawe.Sasa miguu naloweka kwa mda gani,i mean dakika ngap?
 
Back
Top Bottom