BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana?
Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja.
Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka nimepoteza funguo za ghetto zaidi ya mara tano kwa kusahau nilipoziweka ama kuziacha kitu kilichonigharimu kubadilisha vitasa mara kwa mara.
Vitambulisho muhimu kama nida na vote id nimepoteza nimebaki na soft copy zake kwenye simu.
Kusahau majina ya watu na sehemu ambazo nishawahi kwenda ama kuishi kwa muda mrefu.