Tatizo la kusahau kwa kijana

Tatizo la kusahau kwa kijana

Kuna mmoja anasahau Hadi funguo za chumbani kwake, anadondosha funguo anaziokota halafu anakuja kukwambia kuwa Kuna mtu kadondosha funguo hapa sijui ni nani kumbe ni yeye ndo kadondosha anazitupa funguo kumbe ni zake.
 
bra.jpg
 
Back
Top Bottom