Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
Mkuu ukila mafuta unapata dalili gan? Nahis ich kitu kuwa nachoWengine hata mafuta ni mwiko yaan Jani linapigwa chukuchuku ndio tunapata ufuheni
Mkuu nakuomba unijibu reply yangu plz nateseka natanguliza shukran hata PM ikiwezekanaWengine hata mafuta ni mwiko yaan Jani linapigwa chukuchuku ndio tunapata ufuheni
Nitajaribu kufanya hivyo japo nilishawah kufanya hivyo kipindi cha nyuma na nikashindwaPole sana, Mimi ilikuwa ni vice versa na ya kwako, Toka naanza kujitambua kuwa ni mtu nilikuwa sipendi baadhi ya vyakula na mboga kama vile kabichi hii ilikuwa hata upike kutokea mbinguni siwezi kula niko radhi nile wali mkavu ila si na hii mboga, tembere nalo nilikuwa silipendi Kila nikilijaribu likifika kooni linarudi mdomoni na kutoka nje, spinachi nilikuwa siipend pia, dagaa hawa wadogo wanawaita kauzu au wa mwanza pia nilikuwa sili na nyingine nyingi....ila baada ya kwenda high school, kurudi likizo nyumbani hivyo vyakula na mboga nilizokuwa sili hapo mwanza nikaanza kula na kuzipenda kama mboga nyingine Hadi Leo chochote kinacholiwa nakula.
Nilichojifunza ni kwamba, mentality inaweza kubadilika...nilibadilisha tu mtazamo na "kujisemea Kila mara kichwani kuwa lazima Nile hivi na vile sitapata kichefuchefu Wala kutapika au kujihisi vibaya" basi taratibu huko high school pesa niliyokuwa nanunulia mboga ninayoitaka Kila siku ikawa saved nikaanza mdogomdogo kula na wenzangu mboga za shule fresh tu...kumbe shida yangu ilikuwa mindset tu, niliikataa hiyo hali.
Labda unaweza kujaribu hii njia yangu ikasaidia mdogomdogo ila tu usijicheat.
Allerg hiyo mkuu achana nayoMm maziwa yanaleta shida nikinywa siku mbili mfululu navimba uso sijui shida ni nn
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Habari zenu wanajamvi.
Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika.
Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki fresh za ziwa Victoria zilizochemshwa na nikaendelea kula zilizokaangwa na zilizobanikwa. Kadri muda ulivyoenda nikashindwa kula hadi hizo za kubanika na kukaanga.
Miaka kadhaa iliyopita nilisafiri hadi Dar es salaam na nikasema nijaribu samaki wa maji chumvi kwa kuhisi kwamba za maji baridi huenda ndio kikwazo kwangu. Cha kushangaza hata hizo za maji chumvi vilevile zikanishinda. Sielewi nifanye nini ili niweze kula samaki kama awali?
NIKILA SAMAKI TU NASIKIA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA JUU. NAOMBA USHAURI WENU, NINI NIFANYE NIWEZE KULA SAMAKI KAMA ZAMANI.
*Natanguliza shukrani.
Shukran sana sana kwa maelezo mazuri, nitafata ushauri wakoHapa tatizo ni allergy/mzio.
Mwili wako umetambua vitu vilivyoko kwenye vyakula husika kama adui.
Unapokula tu, mwili hutoa kemikali ya kwenda kupambana na kemikali zilizoko kwenye chakula. Hapo ndo kemikali hizo huweza kusababisha kichefuchefu, tumbo kutokuwa sawa na kutapika.
Suala kubwa ni kutokutumia vyakula husika kwa muda mrefu. Mwili huweza kupoteza kumbukumbu husika na mambo kurejea sawa.
Mfano: ni kwa watoto ambao inawezekana alipokuwa mdogo, akila nyama/samaki anavimba. Wazazi na huzuia asipewe vitu husika na akikua huweza kutumia vitu hivyo bila madhara.
Kumbuka hali hii pia inaweza kuongezewa na saikolojia pia. Kwani unapokuwa umeahapitia hayo hisia zako hasi zinakuwa kali. Kwani sehemu ya ubongo inayotoa kemikali inaweza kupokea taarifa husika kwa: kusikia, kutizama, kunusa, kuona, kuonja/ulimi na pia kwa kufikiria.