Kwasababu upinzani haupo bungeni spika amejibadilisha na kuwa mpinzani fake. Tatizo lake wale wabunge wake wa upinzani hata yeye hawamuungi mkono kwasababu hawana mapenzi naye zaidi ya pesa wanayopata.
Spika huyu hana support ya wasomi baada ya kumfitini Prof Assad, upinzani baada ya kumnyima haki zake Lissu , serikali baada ya kuongea ovyo ovyo, sio chagua la Magufuli wala Samia. Spika hakuna mtu anaye muunga mkono kwasababu kaaribu kila mahali. Hivyo Wanzania wengi hawatakuwa upande wake.
Lakini pigo kubwa la mwisho ni kwa Raisi Samia kuanza kufanya vizuri sana hasa kwenye pesa. Mikusanyo ya kodi sasa ni 2trillion kwa mwezi na hapo bado uwekezaji na watalii kuongezeka. Rais Samia haitaji bunge kwa lolote kwa sasa hasa ukizingatia hakuna upinzani.
Spika sasa hana namna zaidi ya kuanza kufikiria kupumzika