Jamani naombeni msaada kwan hili tatizo la kutoka jasho kwapani linaninyima raha na ata uhuru wa kuvaa nguo.
Je nitumie dawa au deodrant gani..?msaada plz.
jamani kwapa zangu zinatoa jasho mpaka nakosa uhuru wa kuvaa nguo., navaa nguo nyeusi tu.,naombeni msaada nitumie deodorant gani au dawa gani.,msaada tafadhali.
Jamani naombeni msaada kwan hili tatizo la kutoka jasho kwapani linaninyima raha na ata uhuru wa kuvaa nguo.
Je nitumie dawa au deodrant gani..?msaada plz.
kamulia limao kwenye hilo kwapa lako jasho litakatika mercy heartJamani naombeni msaada kwan hili tatizo la kutoka jasho kwapani linaninyima raha na ata uhuru wa kuvaa nguo.
Je nitumie dawa au deodrant gani..?msaada plz.
asante sana
Tumia deodorant ya NIVEA inaitwa DRY COMFORT. . Hii ni kama unatokwa na jasho au hata jasho lenye harufu mbaya. Sh.5000 tu ina kopo jeupe, jitahidi kuipata itakusaidia
Afya hio hongera kwa kulea vizurimwanangu ana tatizo la kutokwa jasho pindi anapolala, naomba wadau mnishauri, nini tatizo?
Tuko pamoja mkuu !asante cna dokta kwa somo murua kbsa.ikiwa ni wikiend boraaaa kbsaaaa
Kutokwa jacho kuna changiwa na Mambo mengi.Hyperhidrosis ni ugonjwa wa kutokwa na jasho jingi kuliko kawaida. Kutokwa na jasho ni hali ya kawaida kwa binadamu na wanyama na kazi kubwa ya jasho ni kupoza mwili unapopata joto kubwa. Kwa kawaida mwili wa mwanadamu hutengeneza wastani wa lita moja ya jasho kila siku..
Kutokwa jacho kuna changiwa na Mambo mengi.
Naomba nikukumbushe Ugonjwa ambao kwahivisasa ni Commkn unaoitwa "NASAL POLIPS"
Vinyama vya puani husababisha Hewa unayoingia kwenye Mapafu kuwa ndogo hivyo kupelekea Excessive Muscles kupush hiyo hewa kuingia kwenye Mapafu.
Wakati hilo zoezi linaendelea husababisha mtu atokwe jasho hasa maeneo ya USONI.
Tatizo hili humpata mtu hata akiwa amekaa tu ametulia na hafanyi kazi yeyote ya nguvu kwa muda huo