Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

Kibuyu kimejaa asali.

Unaota ndoto nyevu?? Kama jibu ni ndio, je huwa unatoa wazungu huko usingizini kama jibu ni hapana, basi dogo jua hao machalii zaidi ya bilioni 2 huko kwenye vinyanya mshenzi wanahangaika kutoka, joto limewazidia na wamekua wengi na wewe unawatamanisha kutoka na huwatoi.
 
Umri huo achana na mapenzi., jenga future yako kwanza,,,, ! Maliza shule uende veta, ukifkisha walau 27 ndo uwaza mahusiano serious
👉Tulipokuwa form four Tuliambiwa, mapenzi mtayakuta advance

👉Tulipofika advance tukaambiwa maliza shule mtayakuta Chuo

👉Tukafika Chuo tukaambiwa maliza chuo mapenzi mtayakuta kazini

👉Tulipoingia mtaani, tukaambiwa tafuteni hela mapenzi yapo tu huko mbeleni

🤣Moral of the story mpaka sasa hatujapata pesa na mapenzi bado ni nyoko kmmke🙌
 
Umri huo achana na mapenzi., jenga future yako kwanza,,,, ! Maliza shule uende veta, ukifkisha walau 27 ndo uwaza mahusiano serious
unachosema ni stori TU ila uhalisia ukishaanza haya mambo kwa umri huu kutoka ni ngumu
 
kubababeki ni balaa TUPU mkuu
 
ndoto nyevu mara chache sana make binafsi hupendelea kulala chali sio kulalia tumbo
 
Acha ngono KIJANA kwa huo umri wako itikia wito wa PM nenda VETA sawa ndugu yangu..

Umri wa 20 years utumie kutengeneza carrier yako for future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…