Natafuta matibabu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 262
- 301
Mkuu ulifanikiwa kupata dawa?Nimesoma ushauri wenu nyote, asanteni kwa mda nitaifanyia kazi... Kwenda chuo nako mtihani sababu maisha secondary yalikuwa na changamoto zake pia, imagine unaenda kukutana na watu kama huyu kakangu Jordi Pola , inaumiza kwakweli
Daah!! Noma pole sana mkuuHata mimi nina hiyo shida kwa zaidi ya miaka 10 sasa,nilitibiwa Muhimbili kwa madawa haikuwezekana at last nikaambiwa nitumie hearing aids,nimezitumia lakini zina adha zake ukikaa nazo muda mrefu zikiwa ON masikio yanakuwa hayasikii kabisa,nimeachana nazo ninaishi ninavyojua mwenyewe.
Kifupi masikio naona hayana tiba,ila ni kumuomba Mungu,hakuna linaloshindikana kwake ,nina matumaini kuwa siku moja masikio yangu yatasikia tena,niko kwenye maombi na sitarudi nyuma kwa hilo,mpaka nimepokea muujiza wangu.
Kuna yeyote aliwahi kumtafuta huyu mwenye hii namba? napenda nipate mrejesho wakeKwa matatizo na matibabu ya masikio tumeni meseji kwenye namba 0744903557 mpate suluhisho toka kwa dr
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuThe same history kama mm,
Mwaka 2009 nipo form two nikaanza kuisi miungurumo katika maskio nikajua ni jambo la kawaida but kadri siku zilivyokuwa zinaenda huwezo wa kuskia ukaanza kushuka hasa rafiki zangu walikuwa wanaliona hili na kuniambia ilikuwa ili niskie lazima uongee mara mbili mbili...
Kama Mimi. Jana nimefaulu interview ya kazi,lakini kutosikia kumeniangusha. Tatizo Kama labkwakoKwenye simu naongea vizuri na hata mtu akiongea nasikia ila tu akiongea kwa sauti ya chini ndio napata shida kusikia mpaka nimsogelee au nimwambie aongeze sauti
Hayo yote nayapitia hata uwe na cheo kazini wanakuchukulia POA tu.Ni ngumu kuishi hivo asikwambie mtu nmexperience na naendelea kuxperience
sometimes unaweza ishi kama uko hell
unakuta mtu anaamua kukukejeli ,aweza kuita kukupima tu ukiitika anakwambia basi anacheeka... usiombe yakukute ungali bado shule ya msingi au secondary hayo manyanyapao utajuta.
kuna mtu alimkejeli dada mmoja alikua hasikii kabisa nilijiskia vbaya, Mungu ni mwema yule kaka mwaka juzi kaumwa sana dawa zinakaja ku affect masikio hasikii kabisa.
usiwacheke watu kilema, wengi wetu tumepata kutokana na dawa za hosp affect zake mfano mimi quinine...
imeniathiri mpaka leo sinaga marafiki,rafiki yangu huwaga ni simu tu.sitakagi kuwakera watu
Naomba Bei ya hiyo hearing devicefacing the same problem.quinine imeniharibia mengi maishani.
japo sikia moja ndo zito but nashindwa kuelewa speech..
nimelipata nkiwa primary taratibu linakuwa worse..
momenta zote nlizopitia.dharau..
my phone is my only friend
nimemeza hayo madawa ya neurotone miezi mitatu kila siku.nkarudi khuzema akaniambia niendelee na doz tena miez mitatu.
now nimeishia kwa muhindi na haering aid..atleast sio kama zile za mchina..hazinipiaumivu hizi.na sauti yake ni clear...tatizo kuongea na simu.
lakini tangu nichomwe hiyo quinine mwaka 2005 mpaka sasa miaka 12 sijaumwa malaria tena.ilhali n nna watu nmaoishi nao wanaumwaga.?? kwanini
pole sana ndugu yanguKama Mimi. Jana nimefaulu interview ya kazi,lakini kutosikia kumeniangusha. Tatizo Kama labkwako
Hayo yote nayapitia hata uwe na cheo kazini wanakuchukulia POA tu.
Naomba Bei ya hiyo hearing device
Vina mahusiano na hata ukienda hospital watakucheck masikio alafu wataenda kwenye pia, mfano mie huwa nina shida na pua (plus allergy especially ya vumbi na sometimes baridi) na nilienda Ekenywa Hospital pale Magomeni walinicheck pua na wakacheck pia masikio na koo.Dah nna mtu wangu wa karibu anapitia hii hali ye yote mawili yameziba na miguu inaishiwa nguvu (kumbe vinahusiana?) Hawez kutembea mwenyewe, vipimo wamesema apewe hearing aid
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana,zinaanzia Tshs 50,000 ni za kichina na kupanda,ila ziko mpk za Miliion ni uwezo wako tu mkuu...Kama Mimi. Jana nimefaulu interview ya kazi,lakini kutosikia kumeniangusha. Tatizo Kama labkwako
Hayo yote nayapitia hata uwe na cheo kazini wanakuchukulia POA tu.
Naomba Bei ya hiyo hearing device
Samahani. 50,000 au 500,000?Pole sana,zinaanzia 50,000 za kichina na kupanda,ila ziko mpk za niliion ni uwezo wako tu mkuu...
Samahani. 50,000 au 500,000Pole sana,zinaanzia 50,000 za kichina na kupanda,ila ziko mpk za niliion ni uwezo wako tu mkuu...
Hizo za 50,000 Kama zipi niconnect nipate kwa muda kwaajili ya kazi Kaka.Samahani. 50,000 au 500,000?
Nenda kariakoo kwenye maduka makubwa ya dawa utapata...Samahani. 50,000 au 500,000
Hizo za 50,000 Kama zipi niconnect nipate kwa muda kwaajili ya kazi Kaka.
Hizo za 50,000 cyo hearing device ni amplifier wakuu badala ya kutatua shida yako ya masikio inaenda kuharibu kabisa masikio maana hazijawa programmed kuendana na tatizo lako la uckivu lilipo yenyewe inafanya kazi kuamplify saut tuPole sana,zinaanzia Tshs 50,000 ni za kichina na kupanda,ila ziko mpk za Miliion ni uwezo wako tu mkuu...
Najua hujui unachokiongea,mimi nimeshatumia cha lk 5 hakina tofauti na hicho cha elf 50,tofauti ni umbo tu.Ndio maana namshauri aanze kutumia vya bei rahisi kabla hajapigwa...Hizo za 50,000 cyo hearing device ni amplifier wakuu badala ya kutatua shida yako ya masikio inaenda kuharibu kabisa masikio maana hazijawa programmed kuendana na tatizo lako la uckivu lilipo yenyewe inafanya kazi kuamplify saut tu
...Yaani Hospital kubwa ya CCRBT ikashindwa tatizo lako na kukurlekeza Zahanati.ya Magomeni ??? [emoji848][emoji848]Wakuu mimi ni kijana(19 years now) nina tatizo la kutosikia vizuri na body balance(nimesoma science kidogo naelewa masikio ndio yanayo control body balance) hili tatizo limenianza mda sana tangu nipo mdogo wa miaka kama 9 hivi sasa limekuwa kubwa kiasi kwamba nahitaji attention kubwa sana kuongea na mtu na mara nyingi nikitembea huwa siendi sawa(napepesuka mda mwingine hadi kudondoka).
Hospital nimeenda mara y kwanza muhimbili mwaka 2009 na mama nilichunguzwa nikaambiwa nahitaji hearing device na kwa kuwa gharama ilikuwa kubwa bi mkubwa alishindwa kumudu, by 2012 baba akafanikiwa kuipata hiyo hearing device ambapo niliitumia ila ikawa nikivaa sana masikio yanazidi kuuma, hii ilipelekea kwenda tena Hospital mara hii ikiwa ni CCBRT hapo tukaambiwa twende ekenwa(Hospital flani hivi ipo magomeni) tulivyofika pale na kupimwa solution ilikuwa kutumia kwanza dawa flani hivi zinaitwa neorouns(kama sijakosea) kwa miezi mitatu mfululizo then nikimaliza niendelee kutumia hearing device.
Hii haikuniletea nafuu yoyote mpaka namaliza form four na kwenda likizo ifakara kwa babu, nikiwa huko baada ya miezi kadhaa masikio yakawa ya nauma sana, nikapelekwa Hospital na babu (st Francis Hospital ifakara) baada ya kunichunguza wakaniandikia barua ya rufaa kwenda muhimbili surgery department.. Baada ya Kurudi dar na kwenda muhimbili mzee akanambia gharama ni kubwa sana kwa sasa na yeye hana pesa.
Natumai kuna madaktari humu mnipe japo ushauri wa nini cha kufanya maana nimeshindwa kwenda chuo sababu ya masikio na naona kadri siku zinavyokwenda ndivyo yanavyozidi kupoteza uwezo wake.
Natumai mtanisaidia kwa hili Doctors
USHAURI NA MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
Kampuni gan umetumia?Najua hujui unachokiongea,mimi nimeshatumia cha lk 5 hakina tofauti na hicho cha elf 50,tofauti ni umbo tu.Ndio maana namshauri aanze kutumia vya bei rahisi kabla hajapigwa...