Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani ngabu ametoa maelekezo jinsi ya kufanya usafi wa kinywa, lakn hajakwambia namna ya ku approach hiyo kitu.
Ninkazi sana kumwambia mtu mzima ananuka mdomo coz ninafsi unakuta hajitambui na anaona kama kawa tu.
Angekuwa na hekima angetafuta ufumbuzi wa hili suala baada ya kuja kumdhalilisha huku mtandaoni....Ngumu kumweleza na kama aambiliki ndio hivyo utamkosa sasa kuamua umweleze kama atachukulia -tive sawa ukubaliane nalo iwe siku yenye raha msiwe mmekwaruzana akafikiri umeaanza madharau/kumdhalilisha
Sana sio kitu rahis wakati mwingine utatakiwa kumwona daktari wa meno kabisa.
Kuna jamaa nilisoma nae huko.kijijini aisee alikuwa balaa, alitumia dawa nyingi kashwaki wapi lkn ile harufu ilikuwa inakera sijui alikuja kuponea wapi.
Yaani...utafikiri wazazi waliomzaaa yeye walijikuta wana vigezo vilivyokubaliana 100%...kumbe akiambiwa walivyovumiliana atabaki kushika kichwa.Ndio maana nyakati hizi wanawake wengi hawaoni umuhimu wa kuolewa...ikiwa wanaume wenyewe ndio hawa ambao wanashindwa kuyashughulikia mambo yao ya falagha na kuyapatia ufumbuzi watawezaje kupambana na changamoto za kuhudumia familia....??
Mkuu utakua umekusudia baking powder au?Ile backing power (ya mikate) inaweza saidia. Ila tu asimeze anapo safisha kinywa. Pia hii itamsaidia kufanya meno kuwa meupe.
Yap hiyo hiyoMkuu utakua umekusudia baking powder au?