Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Nyani ngabu ametoa maelekezo jinsi ya kufanya usafi wa kinywa, lakn hajakwambia namna ya ku approach hiyo kitu.

Ninkazi sana kumwambia mtu mzima ananuka mdomo coz ninafsi unakuta hajitambui na anaona kama kawa tu.

Harufu ya kinywa huwa ni suala tete sana.
 
[QUOTE="Nyani Ngabu, post: 15581167, member: 1] Aanze ku-floss. Watanzania wengi hawajui hata flossing ni nini.

2] Akiwa anapiga mswaki awe pia anasugua kuta na paa la mdomo.

3] Aanze kukwangua ulimi si chini ya mara mbili kwa siku. Kwenye hili atumie kikwangua ulimi.

4] Anatumia mouthwash? Kama hatumii na aanze. Ila asitumie zile za bei rahisi maana ubora wake ni wa chini sana.

5] Kama ni mnunaji mwambie aache mara moja maana kununa kunaendana na kufunga mdomo. Kufunga mdomo kunasaidia uzalishaji wa bakteria wanaosababisha harufu mbaya kinywani.

6] Ahakikishe kinywa chake kinapata oksijeni ya kutosha - kwa kunywa maji mara kwa mara.[/QUOTE]




7. Kila mara katika siku ajitahidi kutafuna chewing gum
8.Mnunulie LISTERINE na atumie x2 kwa siku asu na jioni
9. Ongea naye taratibu atakuelewa
 
Ngumu kumweleza na kama aambiliki ndio hivyo utamkosa sasa kuamua umweleze kama atachukulia -tive sawa ukubaliane nalo iwe siku yenye raha msiwe mmekwaruzana akafikiri umeaanza madharau/kumdhalilisha
 
Ngumu kumweleza na kama aambiliki ndio hivyo utamkosa sasa kuamua umweleze kama atachukulia -tive sawa ukubaliane nalo iwe siku yenye raha msiwe mmekwaruzana akafikiri umeaanza madharau/kumdhalilisha
Angekuwa na hekima angetafuta ufumbuzi wa hili suala baada ya kuja kumdhalilisha huku mtandaoni....
 
Ile backing power (ya mikate) inaweza saidia. Ila tu asimeze anapo safisha kinywa. Pia hii itamsaidia kufanya meno kuwa meupe.
 
Sana sio kitu rahis wakati mwingine utatakiwa kumwona daktari wa meno kabisa.

Kuna jamaa nilisoma nae huko.kijijini aisee alikuwa balaa, alitumia dawa nyingi kashwaki wapi lkn ile harufu ilikuwa inakera sijui alikuja kuponea wapi.
 
Nyani ngabu katoa ushauri,kama unampenda mnunulie hivyo vitu .

Nenda naye kwa madaktari wa kinywa,mweleze taratibu atakuelewa tu.

Usimkimbie,binadamu hatujakamlika kuna wengine wananuka sehemu za siri,wengine wananuka vikwapa nk.
 
Mbona hajamwaibisha??? Kamwaibisha wapi?? Kuna mtu hapa anamfahamu?? Tena hapa ni mahali sahihi pa kufunguka jambo linalomtatiza mtu bila hofu wala woga na utapewa ushauri ukichanganya na zako utapona.

Wewe waweza kuona ni jambo dogo kwakuwa halijakutokea na unadhni kuli address kwa mtu mzima mwenzio ni sawa na unavyomkomandi mtoto mdogo.Sio kabisa hekima lazima itumike kama unajali hisia za mwenzako.
 
Nunua dawa ya meno mfano colgate kamua yote ijaze katika chupa ya maji ya lita moja changanya na maji nusu lita shakewell kisha mpe anywe kila anapo maliza kupiga mswaki.Harufu ya mdomo mara nyingi hutokea tumboni itamsaidia.
 
Sana sio kitu rahis wakati mwingine utatakiwa kumwona daktari wa meno kabisa.

Kuna jamaa nilisoma nae huko.kijijini aisee alikuwa balaa, alitumia dawa nyingi kashwaki wapi lkn ile harufu ilikuwa inakera sijui alikuja kuponea wapi.

Mimi naamini watu walio wengi hukosa elimu sahihi ya usafi wa kinywa.

Usafi wa kinywa si kupiga tu mswaki kwa maana ya kusugua meno.

Kiasi kikubwa cha harufu mbaya ya kinywa hutoka kwenye bakteria waliopo kwenye ulimi hususan sehemu ya nyuma karibia na koromeo.

Ndiyo maana kukwangua ulimi ni sehemu muhimu sana ya usafi bora wa kinywa.

Sasa mtu ambaye hakwangui ulimi wake ipasavyo lakini anapiga mswaki kwa kusugua meno tu anaweza kushangaa kwa nini licha ya kupiga mswaki hata zaidi ya mara moja kwa siku, bado anatoa harufu mbaya mdomoni.

Na hilo linaweza kupelekea mtu kama huyo kudhani ana matatizo mengine yanayomsababishia hiyo harufu mbaya kumbe wapi. Ni kwamba tu hajui namna sahihi ya kuswafi kinywa chake.
 
Ndio maana nyakati hizi wanawake wengi hawaoni umuhimu wa kuolewa...ikiwa wanaume wenyewe ndio hawa ambao wanashindwa kuyashughulikia mambo yao ya falagha na kuyapatia ufumbuzi watawezaje kupambana na changamoto za kuhudumia familia....??
Yaani...utafikiri wazazi waliomzaaa yeye walijikuta wana vigezo vilivyokubaliana 100%...kumbe akiambiwa walivyovumiliana atabaki kushika kichwa.
 
Back
Top Bottom