Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri


Isije kuwa ni mdomo wako mwenyewe ila hukuwa unajua
 
Mwenye nilikuwa nasafir ahiseee nilikaa na mkaa alikuwa ananuka mdomo sio kuongea Wala kupumua
Nilikoma adi nilikuwa namwonba mungu afike mapema anapoenda
Ila uwo ni ugonjwa inabidi atumie dawa ya mme ya mwalovera inapatikana forever product
Au akamwone dakital
 
HUYO RAFIKI YAKO INAONEKANA HUKO KARIBU NAYE SANA, MPAKA ANAKUTEL VITU VYA 6 KWA 6. BUT WENGI NI NGUMU SANA KUHADITHIA FAILURES ZETU KWENYE 6 KWA SITA. ME NAHSI NI WEWE MKUU
 
Ndio maana nikienda moshi pumzi yangu huwa siielewi kabisa

SONY Xperia Z5 Premium
 
Watu ambao hawapati haja kubwa kama inavyotakiwa ndio huwa na tatizo hili hata kama utaswaki 24hrs bado tatizo hilo utakuwa nalo.
 
Asante kwa somo zuri swali ni je? hydrogen peroxide 3% inafaa kwa matumiz ya kila siku ya mouthwash
 
kwangu Mimi demu/ mke akiwa ananuka Domo hiyo siku sigusi papuchi yake
 
Natumai mu wazima wa afya wana jf. Mimi nina rafiki yangu ana tatizo la kunuka kinywa hata na mwili hasa kwa mwili pale anapofanya kazi ndogo tu je ni aina gani ya dawa anapaswa kutumia?
 
Azingatie usafi wa mara kwa mara,kinywa asukutue mara tatu kwa siku na kusuuza na MOUTH WASH.Ikishindikana basi aende kucheki matatizo kama CONSTIPATION sijui kama nimepatia hilo neno.Yan kukosa choo husababisha kunuka mdomo pia.Maana mdomo unakuwa kama chemba ya kupitishia hewa au harufu ya mavi alojaza tumboni.
[HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Apige mswaki vizuri na asikae na njaa muda mrefu,at least kila baada ya masaa 2 awe kuna kitu ametafuna,inaweza kuwa pipi,karanga,korosho,bazoka n.k.Nimeamua nitaje hivyo vitu vya kutafunatafuna maana mwingine atataka kila masaa 2 apige ugali wa kushiba kisa kaambiwa asikae na njaa muda mrefu..
 
Kwanza lzm ajue anakula nini?manake watu wenye matatizo tumboni uwaga wananuka mdomo,pili akipiga mswaki ulimi ulimi ulimi,tatu akipika ugali usiku ile sufuria ya ugali aweke maji masafi yalale huko hadi asubuhi ndo hayatumie kupiga mswaki mara 3 kwa siku km inawezekana,..sokoni kuna bidhaa kibao za kusukutua mdomo kwa wenye tatizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…