Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Kuna watu wananuka midomo jamani, nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo, kidogo nimuulize oyaa hupigagi mswaki.
Yaani alikua akipumua mpaka nageuza kichwa upande mwingine, nashukuru nimefika nakokwenda maana hali ilikua mbaya aisee.
Jamani tupigwe mswaki na kama una tatizo kamuone daktari wa meno uchunguze meno.
Isije kuwa ni mdomo wako mwenyewe ila hukuwa unajua