Mkuu utafanya watu wacheke hapo kwenye red, kwani umeonesha stigmatization kubwa sana kwa huyo nduguyo . Ila cha kufanya tafuteni hospital std ya meno na kinywa , nina amini mtakutana na mtaalamu aliyebobea kwa mambo hiyo, kwani haon ni hao ni fangasi wa kinywani ndio wanaopuga kwenye kaya la nduguyo.
Ndugu asante sana kwa ushauri wako japo ulikaa. Kijuujuu sana lakin umrnsaidia sana, ni jana nlienda duka la dawa nkanunua ant fungle moja inaitwa oromucoral gel ametimia asubuh kufika chana imepungua akatumia jioni yani leo asubuh anapumua hewa saafi kabisa yani jadi nimeshangaa kumbe kweli yalikuwa ma fungus. Kinywa saaaafi,