Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau nina tatizo la tumbo kujaa gesi sasa nlishauriwa nitumie kitunguu swaumu.Kiukweli kinanisaidia sana,lakini tatizo ninalokumbana nalo ni kutoa harufu mbaya mdomoni.Watalaamu naombeni kama kuna njia ya kupunguza/kumaliza hilo tatizo la harufu mdomoni!
Hilo tatizo lako hata me nilikuwa nalo but sa hv limeisha linasababishwa na dawa za mswaki tunazotumia whtdent clget na n.k kwan zina floride ukitaka kujua madhara yanayosababishwa na floride nenda YOUTUBE andika hivi EFFECT OF FLORIDE IN BODY ITAKULETEA VIDEO YA DK 10 dawa me niliuziwa elfu 13 kama utaitaji sana nchek kwa no 0683672508 tatizo halitajirudia tena.
Sasa tukikupa majibu ndio utakua unawagawia hizo dawa wakikuomba lift?
Wasabato wanasema yana sumu.Mkuu tafuna majani ya chai kijiko cha chakula Kimoja halafu meza Yale maji yake. Do it twice ( kumeza) harufu kwishhey. Waweza ongezea chwingamu sio mbaya