Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Wadau nina tatizo la tumbo kujaa gesi sasa nlishauriwa nitumie kitunguu swaumu.Kiukweli kinanisaidia sana,lakini tatizo ninalokumbana nalo ni kutoa harufu mbaya mdomoni.Watalaamu naombeni kama kuna njia ya kupunguza/kumaliza hilo tatizo la harufu mdomoni!

Mkuu kwani wewe unatumiaje hiko kitunguu swaumu hadi kinaacha harufu mdomoni,
Nijuavyo mimi unashauriwa kumeza tembe (punge) za kitungu swaumu ili kuepuka hiyo harufu.
Ila nakushauri utumie tangawizi hasa kwa kutafuna kipande kidogo usahidia kuondoa harufu pia
Cc Mzizi Mkavu
 
Jana nilikuwa nimekaa kiti kimoja kwenye basi la abiria na dada mmoja hivi.tukawa tunapiga story ila shida ilikuja alipokuwa yeye akiongea duh! Kwakweli ni hatari huyo dada anatoa harufu mbaya mdomoni mpaka hali ya hewa pale inabadilika.
Hii kitu inasababishwa na nini?
 
Hilo tatizo lako hata me nilikuwa nalo but sa hv limeisha linasababishwa na dawa za mswaki tunazotumia whtdent clget na n.k kwan zina floride ukitaka kujua madhara yanayosababishwa na floride nenda YOUTUBE andika hivi EFFECT OF FLORIDE IN BODY ITAKULETEA VIDEO YA DK 10 dawa me niliuziwa elfu 13 kama utaitaji sana nchek kwa no 0683672508 tatizo halitajirudia tena.

Mkuu ni dawa gani hiyo ya elf 13 au ni za forever living products maana nilishawahi kuona sehemu wanauza kwa hiyo bei, wao wanaiita forever toothpaste kama nitakuwa nimekumbuka vizuri.
 
Habari za Asubuhi Jf members, Mnisamehe kwa wale watakaoguswa moja kwa moja na hii topic, lakini natafuta suluhu ya hili tatizo. Nianze na Mada tajwa hapo juu.

Mimi kwa nature ya kazi ninayoifanya huwa nacollide na wateja wengi kwa siku, kero ninayokutana nayo ni baadhi ya wateja kuwa na Vinywa/midomo inayotoa harufu kali sana mpaka nashindwa kuhimili,
inanibidi nimwambie mteja 'subiri kule', huku nikiwa nimepinda shingo.

Hali kadhalika katika Discussion Chuoni nimekutana na watu wa aina hii (ofcourse wapo wanawake na wanaume), hali kadhalika ukimpa mtu lifti bahati mbaya unakuta yuko vile, safari inakuwaga chungu, na ndiyo chanzo kikuu cha kutokutoa lifti kiti cha mbele. Kidogo inanipa shida kuelewa, TATIZO NI NINI?

Hebu tuwasaidie, inawezekana hii ikawa kama Marudio, lakini naomba Majibu.
 
Sasa tukikupa majibu ndio utakua unawagawia hizo dawa wakikuomba lift?
 
moja ya sababu ni mtu kukaa mda mrefu na njaa amabapo kuna loop inayofunga kati ya mfuko wa chakula na sehemu ya juu mtu akiwa na njaa ile loop hufunguka a kama akiendelea kukaa na njaa kwa kpindi kirefu inawezekana mtu huyo hiyo loop isifunge tena husababisha harufu kutoka tumboni kuja juuu.

kutosafisha kinywa vizuri .. kuna watu huswaki mbele tu hawaingizi mswaki ndani na nje na hata kuosha ulimi inaleta mzaliano wa bacteria wanaoleta harufu...

waiopekechwa meno pia

aina ya food mtu hutumia nayo ni sababu... mtu asubuhi kanywa supu ya utumbo unafikiria atakuwa ananukiaje mdomoni?

kuwa mvumilivu yawezekana hata we unanuka hujijui
 
Harufu ya kinywa ilio kali kabisa hutoka tumboni na hutibiwa kwa kutibu mfumo wa tumboni wa chakula na ule wa mdomoni uletwao na meno hujulikana tu ambao hutokana na kutosafisha vzr kinywa.
 
Ukiwana changamoto kama hii ujue mfumo wako wa mwili upo hatari kukabiliwa na magonjwa zaidi kwa sababu ya utumbo mpana haufanyi kazi vizuri.nahii ukiuliza zaidi asilimia nyingi wanotoa harufu mdomoni hawapati choo au haja kubwa vizuri au kutopata kabisa.hii inapelekea kansa ya koloni pia watumie SHAKE OFF phyto fiber . (A superior colon cleansing health drink made from all natural ingredients that sweeps and flushes out all the toxis from our colons, leaving it clean and healthy.
 
Mkuu tafuna majani ya chai kijiko cha chakula Kimoja halafu meza Yale maji yake. Do it twice ( kumeza) harufu kwishhey. Waweza ongezea chwingamu sio mbaya
 
Mkuu tafuna majani ya chai kijiko cha chakula Kimoja halafu meza Yale maji yake. Do it twice ( kumeza) harufu kwishhey. Waweza ongezea chwingamu sio mbaya
Wasabato wanasema yana sumu.
 
Back
Top Bottom