Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ishue c mswaki bhana mtu mzima atakosaje kupigwa mswaki? kuna baadhi ya magonjwa ya kinywa yanasababisha mtu atoe harufu inabidi mkamwone daktari wa kinnywa na meno,,sasa issue ni kwamba cjui utaanzaje kumwambia maana kwa jinc nlivyosoma post yako cdhan kama mshawah zungumzia hii issue....Kwa kweli nampenda na ana sifa zote nnazozitaka,ila tatizo ni moja tu kwa huyu demu wangu,yani huyu demu ananuka sana mdomo hata sijui kwa nini,sijui hapigi mswakii? Mbaya zaidi akija kwangu ili nimpe mautamu huwa anataka nimnyonye mate a.k.a denda,sasa najikuta napata tabu sana kwa namna anavonuka mdomo,unakuta naweka pipi harafu nampa kijanja janja ili aondoe harufu ila anakuwa anakataaa,basi kila nikikumbuka ike harufu yake ya kinywa nashindwa kupata hamu,jogoo linalegea kwa kukosa ashiki.ila mtoto ni mzuri sana hata nikiongozana nae nauza nyago balaa,watu wanakodoa mimacho kichizi,na anajua kunipa raha ila tatzo ni hilo la harufu ya kinywa tu.harafu kumwambia naogopa sana mana si mnajua jinsi ya kumwambia mtu tatizo kama hilo ni vigumu sana,ushauri wenu tafadhari
Umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuwa na demu mzuri sana wa umbo na sura na alikuwa msafi nje mpaka kwenye nyapu!Kwa kweli nampenda na ana sifa zote nnazozitaka,ila tatizo ni moja tu kwa huyu demu wangu,yani huyu demu ananuka sana mdomo hata sijui kwa nini,sijui hapigi mswakii? Mbaya zaidi akija kwangu ili nimpe mautamu huwa anataka nimnyonye mate a.k.a denda,sasa najikuta napata tabu sana kwa namna anavonuka mdomo,unakuta naweka pipi harafu nampa kijanja janja ili aondoe harufu ila anakuwa anakataaa,basi kila nikikumbuka ike harufu yake ya kinywa nashindwa kupata hamu,jogoo linalegea kwa kukosa ashiki.ila mtoto ni mzuri sana hata nikiongozana nae nauza nyago balaa,watu wanakodoa mimacho kichizi,na anajua kunipa raha ila tatzo ni hilo la harufu ya kinywa tu.harafu kumwambia naogopa sana mana si mnajua jinsi ya kumwambia mtu tatizo kama hilo ni vigumu sana,ushauri wenu tafadhari
ampe tu za uso 100% kwamba there is some kind of smell, na inatokea kwa baadhi ya watu at some times kama mtu ana sinus, tonsils, meno kuharibika au infection za kifua, tumbo na mapafu... sasa kwa kuanza mwambie tu kuna options kama alizotaja NN na pia amuone dentist kusafisha menoNyani ngabu ametoa maelekezo jinsi ya kufanya usafi wa kinywa, lakn hajakwambia namna ya ku approach hiyo kitu.
Ninkazi sana kumwambia mtu mzima ananuka mdomo coz ninafsi unakuta hajitambui na anaona kama kawa tu.
Sasa fanya hivi , fanya kama utani huku unajichekelesha kwa furaha yaani full mzuka, mwambie baby/ sweet leo hujapiga mswaki na kwa kuwa atakuwa amepiga lazima atakwambia mbona nimepiga, basi utaanzia hapo hapo kwamba labda baby hujapiga vizuri mpe ABCD za kupiga vzr maana mpaka hapo atakuwa anakusikiliza bila kujisikia vibaya na ni matumaini yangu kabs atatekeleza
Harufu mbaya ya mdomo inakata stimu kabisa hata demu angekuwa mzuri vipi.
Naipataje mkuuHydrogen Peroxide ndio kiboko ya hiyo issue, akisukutua nayo mara mbili tatu, kazi kwisha kabisa!
Nakuelewa mkuu,ntafanya hivo1] Aanze ku-floss. Watanzania wengi hawajui hata flossing ni nini.
2] Akiwa anapiga mswaki awe pia anasugua kuta na paa la mdomo.
3] Aanze kukwangua ulimi si chini ya mara mbili kwa siku. Kwenye hili atumie kikwangua ulimi.
4] Anatumia mouthwash? Kama hatumii na aanze. Ila asitumie zile za bei rahisi maana ubora wake ni wa chini sana.
5] Kama ni mnunaji mwambie aache mara moja maana kununa kunaendana na kufunga mdomo. Kufunga mdomo kunasaidia uzalishaji wa bakteria wanaosababisha harufu mbaya kinywani.
6] Ahakikishe kinywa chake kinapata oksijeni ya kutosha - kwa kunywa maji mara kwa mara.
Duka la dawa.Naipataje mkuu
Acha hasira dadaWanaume mtatuua jaman chaaa!yaan kwani ulivyompenda alikuwa hanuki huo mdomo mpka ujisajili jamii forum kuja kuleta madhaifu yake huku?kwani huko ndo kuna hospital?