Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Aaah! hiyo rahisi sana...Acha kuswaki siku kama 3..halafu uende.
 
Kwa kweli nampenda na ana sifa zote nnazozitaka,ila tatizo ni moja tu kwa huyu demu wangu,yani huyu demu ananuka sana mdomo hata sijui kwa nini,sijui hapigi mswakii? Mbaya zaidi akija kwangu ili nimpe mautamu huwa anataka nimnyonye mate a.k.a denda,sasa najikuta napata tabu sana kwa namna anavonuka mdomo,unakuta naweka pipi harafu nampa kijanja janja ili aondoe harufu ila anakuwa anakataaa,basi kila nikikumbuka ike harufu yake ya kinywa nashindwa kupata hamu,jogoo linalegea kwa kukosa ashiki.ila mtoto ni mzuri sana hata nikiongozana nae nauza nyago balaa,watu wanakodoa mimacho kichizi,na anajua kunipa raha ila tatzo ni hilo la harufu ya kinywa tu.harafu kumwambia naogopa sana mana si mnajua jinsi ya kumwambia mtu tatizo kama hilo ni vigumu sana,ushauri wenu tafadhari
ishue c mswaki bhana mtu mzima atakosaje kupigwa mswaki? kuna baadhi ya magonjwa ya kinywa yanasababisha mtu atoe harufu inabidi mkamwone daktari wa kinnywa na meno,,sasa issue ni kwamba cjui utaanzaje kumwambia maana kwa jinc nlivyosoma post yako cdhan kama mshawah zungumzia hii issue....
 
Hydrogen Peroxide ndio kiboko ya hiyo issue, akisukutua nayo mara mbili tatu, kazi kwisha kabisa!
 
Kwa kweli nampenda na ana sifa zote nnazozitaka,ila tatizo ni moja tu kwa huyu demu wangu,yani huyu demu ananuka sana mdomo hata sijui kwa nini,sijui hapigi mswakii? Mbaya zaidi akija kwangu ili nimpe mautamu huwa anataka nimnyonye mate a.k.a denda,sasa najikuta napata tabu sana kwa namna anavonuka mdomo,unakuta naweka pipi harafu nampa kijanja janja ili aondoe harufu ila anakuwa anakataaa,basi kila nikikumbuka ike harufu yake ya kinywa nashindwa kupata hamu,jogoo linalegea kwa kukosa ashiki.ila mtoto ni mzuri sana hata nikiongozana nae nauza nyago balaa,watu wanakodoa mimacho kichizi,na anajua kunipa raha ila tatzo ni hilo la harufu ya kinywa tu.harafu kumwambia naogopa sana mana si mnajua jinsi ya kumwambia mtu tatizo kama hilo ni vigumu sana,ushauri wenu tafadhari
Umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuwa na demu mzuri sana wa umbo na sura na alikuwa msafi nje mpaka kwenye nyapu!
Ila kasoro yake harufu mbaya mdomoni!
Ilikuwa rahisi kwangu kumnyonya "K" kuliko kula denda!
 
Mueleze ukweli hta km atachukia ila utamsaidia,na mwambie unampnda Sana na ndio maana umemwambia.
Mwambie anunue karafuu achemche Yale maji awe Ana sukutua . yanakata kabisa harufu mbayaaaa
 
Nyani ngabu ametoa maelekezo jinsi ya kufanya usafi wa kinywa, lakn hajakwambia namna ya ku approach hiyo kitu.

Ninkazi sana kumwambia mtu mzima ananuka mdomo coz ninafsi unakuta hajitambui na anaona kama kawa tu.

Sasa fanya hivi , fanya kama utani huku unajichekelesha kwa furaha yaani full mzuka, mwambie baby/ sweet leo hujapiga mswaki na kwa kuwa atakuwa amepiga lazima atakwambia mbona nimepiga, basi utaanzia hapo hapo kwamba labda baby hujapiga vizuri mpe ABCD za kupiga vzr maana mpaka hapo atakuwa anakusikiliza bila kujisikia vibaya na ni matumaini yangu kabs atatekeleza

Harufu mbaya ya mdomo inakata stimu kabisa hata demu angekuwa mzuri vipi.
ampe tu za uso 100% kwamba there is some kind of smell, na inatokea kwa baadhi ya watu at some times kama mtu ana sinus, tonsils, meno kuharibika au infection za kifua, tumbo na mapafu... sasa kwa kuanza mwambie tu kuna options kama alizotaja NN na pia amuone dentist kusafisha meno

Kama ni mwelewa atakushukuru sana, kama sio mwelewa bahati mbaya, but eventually atakushukuru

SI AJABU NA WEWE UNANUKA MDOMO ILA HUJIJUI, KWAHIYO ATAKUPA FEEDBACK
 
Harufu ya mdomo huambukiza?Unaweza kuta umekaa na mtu akihema tu kama ana mouth odour basi lazima nawe taste ya mate hubadilika na mda kazaa utanuka tu.

Ila watu wengi wenye kunuka huwa na maisha yasiyo na raha misongo na pia loneliness huchangia.
 
1] Aanze ku-floss. Watanzania wengi hawajui hata flossing ni nini.

2] Akiwa anapiga mswaki awe pia anasugua kuta na paa la mdomo.

3] Aanze kukwangua ulimi si chini ya mara mbili kwa siku. Kwenye hili atumie kikwangua ulimi.

4] Anatumia mouthwash? Kama hatumii na aanze. Ila asitumie zile za bei rahisi maana ubora wake ni wa chini sana.

5] Kama ni mnunaji mwambie aache mara moja maana kununa kunaendana na kufunga mdomo. Kufunga mdomo kunasaidia uzalishaji wa bakteria wanaosababisha harufu mbaya kinywani.

6] Ahakikishe kinywa chake kinapata oksijeni ya kutosha - kwa kunywa maji mara kwa mara.
Nakuelewa mkuu,ntafanya hivo
 
Kwa maelezo yako.. wewe ndiyo unayenuka mdomo... pole sana... Acha kipiga pasi ndefu, uwe unakula... na kusafisha kinywa vizuri
...
 
Mbona that is simple kama kweli unampenda hauwezi kumuonea aibu we mwambi in a good way atakuelewa ata mimi wangu alikuwa na matatizo kama hayo lakini nime mwambia na akajaribu kutafuta njia tofauti ya kusolve namimi pia kuzunguka huko na kile kutafuta namna ya kusolve now dayz sisikii iyo harufu mbaya, yani uwe free ata kama unataka kujamba wewe binafsi usiende kujificha kujamba, yani wewe kwanza uwe free kwake na yeye atakuwa free kwako slowly bro.kwani kutakuwa hakuna kuoneana aibu.
 
Pamoja na afya/usafi wa mdomo kama Nyani Ngabu na wadau wengine walivyoainisha:
  1. Anapenda kula vyakula/viungo vyenye harufu kali?
  2. Yupo kwenye ''dieting'' kiasi huwa hali chakula kwa ratiba za kawaida ili kuwa na umbile la mrembo kama ulivyomsifia? Kutokula kwa muda mrefu pia inaweza kusababisha harufu kali mdomoni.
  3. Kinywa/ mdomo hauna mate ya kutosha kuua bakteria? awe anakunywa maji kidogo mara kwa mara kufidia ukavu wa kinywa
  4. Anakunywa pombe au kuvuta sigara? Hii pia kwa baadhi ya watu husababisha harufu mbaya.
  5. Namba 1-4 mnaweza kurekebisha, lakini kama anatatizo la mfumo wa kusaga chakula tumboni, maumivu ya tumbo, kisukari, matatizo ya mapafu, anatumia madawa kama nitrates, ana tonsillitis, sinusitis n.k ambayo yanaweza kusababisha gesi yenye harufu kutoka mdomoni basi mkamwone daktari.
 
Huyu wangu alikuwa na tabia ya kunitaka nimdende asbh sana kabl ya kuswak bas haruf balaa
 
Wanaume mtatuua jaman chaaa!yaan kwani ulivyompenda alikuwa hanuki huo mdomo mpka ujisajili jamii forum kuja kuleta madhaifu yake huku?kwani huko ndo kuna hospital?
 
Back
Top Bottom