Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Wakati mwingine watu hawa huwa na maambukizi kakika mfumo wa kinywa na hewa.Hata akiishi kwenye kiwanda cha dawa za kupigia mswaki bado shida itabaki palepale.Cha msingi ni tiba.
Lakini pia usafi wao wa kinywa si wa uhakika. Wanapiga mswaki lakini hawasafishi ulimi. Ulimi ukiwa mchafu hata usafishe meno vipi, mdomo lazima utatoa kama machinjio....
 
Wakuu kunuka mdomo kuna mechanism nyingi.
1. Kula vyakula vyenye starch nyingi hupelekea mdomo kutoa harufu
2. Kutokuwa makini wakati wa kufanya usaf ndan ya kinywa chako
3. Magonjwa mbalimbali yanayosumbua turbo na kimya IE. Respiratory diseases, lung disorders
4. Pombe, hapa walevi inabidi muwe makini kufanya usafi hasa asubuhi
5. Wagonjwa wa kisukar japo hii harufu mara nyingi huwa na harufu Kama ya [emoji519] Apple. Usimcheke anaenuka mdomo, mshauri amuone daktari.

Ahsanten
 
Lakini pia usafi wao wa kinywa si wa uhakika. Wanapiga mswaki lakini hawasafishi ulimi. Ulimi ukiwa mchafu hata usafishe meno vipi, mdomo lazima utatoa kama machinjio....
Kumbuka pia kuna maradhi mengine ambayo huwa si ya kuambukiza mf.kisukari yasipokuwa na matibabu mazuri hufanya kinywa kuwa na harufu mbaya.Usafi wa kinywa kwa usahihi nakubaliana na we we ni wa muhimu sana.
 
Harufu mdomoni ni tatizo kubwa na linaleta changamoto kwenye utatuzi wake Kitaaalamu inaitwa HALITOSIS. Hili tatizo linaweza kuwa linachanzo mdomoni ama jino limetoboka hvyo kuwa kama hotpot na kuwa chanzo cha harufu mbaya ama matatizo ya fizi yaani plaque ama calculus ama ugaga ambao unaweka maambukizi ya bakteria na kudababisha harufu mbaya mdomoni ama upiga mbaya wa mswaki usiozingatia taratibu nzuri.

Chanzo kingine ni kwenye koo endapo kuna maambukizi kwenye njia za hewa nasopharynx ama kwenye mapafu. Vyooote hivyo huweza sababisha harufu mdomoni.

Jinsi ya kuepuka.

1. Kupiga mswaki kwa usahihi yaani sehemu zote za meno nje ndani na sehemu ya kutafunia kwenye ulimi mbele na nyuma chini ya ulimi ndani ya mdomo sehemu ya juu-palate Ili kuondoa ute mzito wenye harufu
2. Kupunguza vyakula vyenye sukari kwa wingi na vimiminika kupunguza mapishi yenye vitunguu kwa wingi..
3. Kufanya mazoezi ili kusafisha mfumo wa hewa na upumuaji
4. Kwenda kwa wataalamu wa afya ya kinywa na meno ili kupata tiba na ushauri bora wa jinsi ya kuepukana na tatizo hili

Kwa ufupi haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kufanyika pindi unapohisi harufu mbaya mdomoni

Maledhi
 
Wakuu kunuka mdomo kuna mechanism nyingi. 1.kula vyakula vyenye starch nyingi hupelekea mdomo kutoa harufu 2.kutokuwa makini wakati wa kufanya usaf ndan ya kinywa chako 3.magonjwa mbalimbali yanayosumbua turbo na kimya IE. Respiratory diseases, lung disorders 4.pombe, hapa walev inabd muwe makin kufanya usafi hasa asbh5. Wagonjwa wa kisukar japo hii harufu mara nyingi huwa na harufu Kama ya [emoji519] Apple. Usimcheke anaenuka mdomo, mshauri amuone daktari.
Ahsanten
Wavuta sigara nao wananuka midomo
 
Back
Top Bottom