Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimeisoma yote. Mimi najua mambo 3 tu kuhusu usafi wa kinywa.
1. Brush after every meal. Kama unashindwa mchana (asubuhi brush baada ya staftahi), then use sugar free chewing gum. Mate mengi yatasafisha kinywa.
2. Badili mswaki kila mwezi (come onn! Kwani mswaki mzuri ni sh ngapi? Haizidi bei ya box la juice!)
3. Go to the dentist once a year. Like hell the insurance is the one paying!
Kama unajua matatu ngoja basi nikuongezee mengine:
Floss meno at least mara moja kwa siku.
Kunywa maji mara kwa mara ili kuruhusu mzunguko wa kutosha wa oksijeni ndani ya mdomo kwani mdomo mkavu husababisha harufu mbaya.
Kuukwangua ulimi kwa kutumia kikwangua ulimi nako husaidia. Hicho kikwangua ulimi unakiingiza mdomoni kinaenda hadi kule nyuma kabisa ya mdomo. Unakwangua kuanzia nyuma hadi mbele. Unafanya hivyo kama mara mbili au tatu hivi.
Lengo ni kuondoa utando ambao huwa una bakteria wanaosababisha harufu mbaya. Baada ya kukwangua unasukutua na mouthwash kama unayo halafu baada ya hapo unamalizia kwa kusukutua na maji.
Pia, katika kupiga mswaki usiishie kusugua meno tu. Sugua fizi, paa la kinywa, pamoja na kuta za mashavu kwa ndani.
Tongue scraper
Dental floss
Mouthwash....