Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Nimeisoma yote. Mimi najua mambo 3 tu kuhusu usafi wa kinywa.
1. Brush after every meal. Kama unashindwa mchana (asubuhi brush baada ya staftahi), then use sugar free chewing gum. Mate mengi yatasafisha kinywa.

2. Badili mswaki kila mwezi (come onn! Kwani mswaki mzuri ni sh ngapi? Haizidi bei ya box la juice!)

3. Go to the dentist once a year. Like hell the insurance is the one paying!

Kama unajua matatu ngoja basi nikuongezee mengine:

Floss meno at least mara moja kwa siku.

Kunywa maji mara kwa mara ili kuruhusu mzunguko wa kutosha wa oksijeni ndani ya mdomo kwani mdomo mkavu husababisha harufu mbaya.

Kuukwangua ulimi kwa kutumia kikwangua ulimi nako husaidia. Hicho kikwangua ulimi unakiingiza mdomoni kinaenda hadi kule nyuma kabisa ya mdomo. Unakwangua kuanzia nyuma hadi mbele. Unafanya hivyo kama mara mbili au tatu hivi.

Lengo ni kuondoa utando ambao huwa una bakteria wanaosababisha harufu mbaya. Baada ya kukwangua unasukutua na mouthwash kama unayo halafu baada ya hapo unamalizia kwa kusukutua na maji.

Pia, katika kupiga mswaki usiishie kusugua meno tu. Sugua fizi, paa la kinywa, pamoja na kuta za mashavu kwa ndani.

Tongue scraper

760R-2.jpg

Dental floss

0030041082585_180X180.jpg


Mouthwash....

mouthwash.jpg
 
Hahaha Nyani Ngabu i really hope you date someone anaenuka mdomo afu mwenye mapengo kama mawili hivi.

1 Habari yako ya flossing daily nshaikataa. Wknd tuuu!
2 About tongue scrapper you shld send that to me in xmas.
3 Listerine niliishindwa kabisaa,siwezi kusukutua and i go hayway from the taste.

So my 3 remains. Ofcoz maji nakunywa kila saa
 
Last edited by a moderator:
mwenye tatizo hizo hilo amtafute mdada anaitwa jesca ana bidhaa zinasaidia sana hilo tatizo sio kutuliza kumaliza kabisa. Namba yake ni 0753298373. Hata wale wanaotoka majasho sana na kunuka kikwapa kikaliii anayo tiba.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Anapatikana wapi?
 
Mie sina harufu mbaya ya mdomo
Naweza kukaa hata siku tatu sijapiga mswaki na hutoisikia kamwe
Nashukuru mpenzi wangu nae hana harufu mbaya ya kinywa
Tukilala wote hua ni full denda mpaka tunaenda kuoga asubuhi

Jamani kuna watu wananuka midomo ka vyoo vinavyozibuliwa harufu yake ndio ipo mdomoni,ni ugonjwa tafuten tibaa
 
Umesema vizuri...ukiona mty ananuka mdomo ujue tatizo limeanzia tumboni kwenye utumbo so anatakiwa ku detox ili kusafisha utumbo.
 
Anaweza kuondoa harufu hiyo kwa kutumia supplements za kutoa sumu na kusafisha utumbo.cheki na 0753298373 anazo bidhaa nzuri sana.mi najua watu alowasaidia walokuwa na tatizo hilo na sasa wapo fresh.
 
Hii hapa ni tiba safi ya kusafisha utumbo na kukuweka mbali na tatizo la kutoa harufu mbaya mwilini au mdomoni.
 

Attachments

  • 1386917778542.jpg
    1386917778542.jpg
    14.5 KB · Views: 276
Nina tatizo la kutokwa na harufu mbaya kinywani..je nitumie dawa gani ili tatizo langu liishe kabisa..
Kinywa kutoa harufu mbaya Mdomo Mtu mwenye huo Ugonjwa atachukuwa Asali Safi ya nyuki iliyo mbichi haijapikwa, Asali vijiko 2 aikoroge katika maji

na ayachemshe katika moto mdogo mpaka yatoe moshi na avute puani moshi huo mdomoni kupitia kwenye paipu ya (bomba) iliyofungwa vizuri juu ya

chombo. Tiba hii atakuwa akiendelea nayo pamoja na kutafuna nta ya asali. Harufu mbaya ya Mdomoni itaondoka kabisa.
 
Ndugu nitakupa dawa imewahi kumsaidia sana mdogo wangu. Ukishapiga mswaki chukua mafuta ya ufuta (sesame oil) )kijiko kimoja weka mdomoni yazungushe (oil pulling) kwa muda wa dakika halafu tema. Yanauwa bacteria wabaya. Na usiku kabla ya kulala kula kijiko kimoja cha asali.
 
Ndugu nitakupa dawa imewahi kumsaidia sana mdogo wangu. Ukishapiga mswaki chukua mafuta ya ufuta (sesame oil) )kijiko kimoja weka mdomoni yazungushe (oil pulling) kwa muda wa dakika halafu tema. Yanauwa bacteria wabaya. Na usiku kabla ya kulala kula kijiko kimoja cha asali.
Mkuu hujafafanua ni asali ipi, je ni ya nyuki wadogo au ni ile ya kawaida?
 
mkuu wakati mwingine pia upigaji wa mswaki watu hukosea,jitahidi kutumia muda kusugua ulimu na kwa ndani yaani nyuma ya meno!kama unaweza piga japo mara tatu kwa siku!
 
Harufu mbaya kinywani wakati mwingine husababishwa na calculus (ugaga ktk meno) hivyo ni vyema uende katika dentsl clinic ukatizamwe km unazo usafishwe na tatizo lk litapona lakini kwa kubadili dawa ya mswaki au matumizi ya mounth wash tu hayataondoa tatizo. ....nenda kamwone dentist
 
Hats magonjwa ya mapafu, mfumo wa chakula au amini poa huweza kusababisha li halluuufu halluuuffuu
 
Lakin pia epuka ulaji wa nyama kupita kias, ongeza ulaji wa matunda kama mananasi ambayo yatayafanya meno yako kua meupe, safisha pia fizi zako kwa kutumia maji safi na salama
 
Ukifanya hayo na hali ikiendelea unatakiwa kuanza kutumia mouth wash wakat wa kusafisha kinywa chako , kama hali itaendelea waone wataalam wa afya ya kinywa na ninawashauri hata wengine kua na tabia walau mara tatu kwa mwaka mkawaone wataalam juu ya afya ya kinywa
 
Njia rahisi ya kugundua kama kinywa chako kinatoa harufu ni 1. Chukua kioo chochote pumua juu ya kioo hicho halafu nusa ukungu unaobakia pale au 2. Chukua mkono wako wa kulia au kushoto isiwe kiganjani ninamaanisha kwa juu then pitisha ulimi wako halafu nusa utakua umejipima km kinywa chako kina harufu ama la
 
Nina tatizo la kutokwa na harufu mbaya kinywani..je nitumie dawa gani ili tatizo langu liishe kabisa..
Kinywa kutoa harufu mbaya Mdomo Mtu mwenye huo Ugonjwa atachukuwa Asali Safi ya nyuki iliyo mbichi haijapikwa, Asali vijiko 2 aikoroge katika maji

na ayachemshe katika moto mdogo mpaka yatoe moshi na avute puani moshi huo mdomoni kupitia kwenye paipu ya (bomba) iliyofungwa vizuri juu ya

chombo. Tiba hii atakuwa akiendelea nayo pamoja na kutafuna nta ya asali. Harufu mbaya ya Mdomoni itaondoka kabisa.
 
Back
Top Bottom