sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu,
Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+
Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022 nilikuwa navuta sigara 2 hadi 3 kwa siku, November mwaka jana niliacha kabisa maana nina familia
Bangi sivuti, kama ilivyo kwa vijana wengi kutaka kujaribu jaribu, niliwahi kujaribu mara mbili tu miaka ya 2014.