sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Niliwahi kuvuta mara 2 kwa kujaribu nikiwa chuoni, kama ilivyo kwa pombe watu wengine kuishindwa na mimi bangi niliweka pembeni.Unavuta bangi?
hahahaPiga bange ugoro na kuberi Io kichwa itakaa sawa tu Kisha kopa kausha damu
Ulifanya makosa sana,tatizo limeanzia hapo baada ya kupiga puff halafu ukaachaNiliwahi kuvuta mara 2 kwa kujaribu nikiwa chuoni, kama ilivyo kwa pombe watu wengine kuishindwa na mimi bangi niliweka pembeni.
Tafuna Bamia mbichi then utakuja kunishukuru.Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu,
Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+
Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022 nilikuwa navuta sigara 2 hadi 3 kwa siku, November mwaka jana niliacha kabisa maana nina familia
Bangi sivuti, kama ilivyo kwa vijana wengi kutaka kujaribu jaribu, niliwahi kujaribu mara mbili tu miaka ya 2014.
Una nyetuka??Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu,
Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+
Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022 nilikuwa navuta sigara 2 hadi 3 kwa siku, November mwaka jana niliacha kabisa maana nina familia
Bangi sivuti, kama ilivyo kwa vijana wengi kutaka kujaribu jaribu, niliwahi kujaribu mara mbili tu miaka ya 2014.
Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu,
Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+
Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022 nilikuwa navuta sigara 2 hadi 3 kwa siku, November mwaka jana niliacha kabisa maana nina familia
Bangi sivuti, kama ilivyo kwa vijana wengi kutaka kujaribu jaribu, niliwahi kujaribu mara mbili tu miaka ya 2014.
Hio note book na pen utakaa nayo, utaandika to do list na pia utasahau kuyasoma uliyoyaandika.Kapime hormone pia anza kutembea na note book na peni