Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Watu wengi wanaona kama vumbi la Congo halifai, hawa ni wale wanaamini kwenye vyakula na mazoezi wakati kwa upande wao hilo haliwezekani tena. Kuleni chakula vizuri then Paka vumbi lako mtanishukuru baada ya mechi.
Vumbi la congo haliongezi nguvu za kiume, kama huna nguvu za kiume vumbi la Congo haliwezi kufanya chochote.
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
 
Sijaelewa kidogo mkuu! kubana sehemu ya makalio na karibu na korodani..nieleweshe vizuri.

Hapo kwenye kubadili style ipi ndo nzuri?

Samahan kiongoz HV punyeto aiwez kukusababshia matatz kama kukosa kabsa nguvu za kiume?

si kweli, wanaume wengi sana hupitia hii kitu lakini erectile dsyfunction siyo tatizo kubwa kiasi hicho. vitu kama kisukari na magonjwa mengine ndiyo huchangia hii ishu.

Asanteee kwa somo nimelinote

Tupe chapisho la kisomi ambalo limefanya research hii ili tufanye reference, si kila muhuni yeyote sasa na yeye anajifanya mtafiti.

Wadau mawazo yenu tafafhali

Sent using Jamii Forums mobile app

umeniongezea mbinu ya kivita kesho lazima godoro lianikwe

mi pia nimewahi kua mhanga wa tatizo hili bt suluhu yake nilishauriwa nisiwahi kuanza mchezo yaani nifanye maandalizi dakika 30 na kuendelea, hii inasaidia mwili unapochemka sana ajili ya ngono hupoa then unapokuja fanya mwili unakua umejirudi hapa utafurahia ngono zaidi pia itakufanya ukae kifuani zaidi ya dk10 goli la kwanza ni njia nzuri sana hii japo inahtaji uzidhibiti hisia kwa kutoanza game mapema mpaka zibalance.

Masturbation haisababishi premature ejaculation scientifically no relation hakuna uhusiano at all

Nashangaa PULI inavyosingiziwa....wakati CHAPUTA hata corona ilipita mbali.......na 90% ya wanachama ndoano zao zimechangamka vema....huu utafiti ntaupinga sana.....

Mkuu sifanyi punyeto.

chaputa kwanzia leo naivunja, ambae anapenda kuacha kama mm agonge like tupange mikakati ya kurudisha heshima.

Unaweza kutaja hizo dawa ambazo zinapunguza hisia kwa majina ambazo nitazipata pharmacy maana nimeteseka kutafuta dawa mm ukwel dk 1 haifiki tayar jap choki lkn namaliza mapema nimemtumia dawa za kimasai bad so hep niandikie hiz nazo

Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
Watu wengi wanahangaika na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila mimi nitaongelea katika suala la kujichua tu (punyeto). Kumbuka mimi siyo daktari wala siuzi dawa. Hii ni elimu tunapeana kama wanaume
Amini hili suala la upungufu wa nguvu za kiume baada ya kuathirika na punyeto linatibika na mimi nimepona. Huu ni ushuhuda wangu 100%. Nilianza tabia ya kujichua baada ya kuangalia picha na video za utupu, nilijichua kwa muda mrefu na madhara yake yalikuwa haya
  • Nawahi kumaliza chini ya dakika 1
  • Uume unakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo
  • Sina hisia na mwanamke. Ile hamu ya kusimamisha haipo ipo kwa mbali sana
  • Mapigo ya moyo kupungua hata kutokuwepo. Hii hutokea ambapo unapokuwa na hisia za kujamiana, mapigo hudunda haraka haraka kusukuma damu nyingi kupeleka kwenye uume. Hali hii hutoweka
  • Uume kusimama legelege, huwezi kusimamisha kama msumari kwa dakika 2 na kuendelea.
  • Ukisimamisha na ukapata msuguano kidogo sana, unaweza ukapizi ndani ya boksa. Unaweza ukawa unashikana na mwanamke kimahaba ila ukajikuta umemwaga hata haujavua nguo.
Unajua kuchanganyikiwa kwa mwanaume ni katika hali hii. Nilichanganyikiwa hasa. Nilichofanya
Nilienda hospitali moja ya private (Jina kapuni) huko Dodoma nikamuelezea dokta hivi
1. Nawahi kumaliza, chini ya dakika moja
2. Mimi ni muathirika wa punyeto. Nilikuwa najichua
Watu wengi wanashindwa kupata matibabu kwasababu
A. Hawaendi katika hospitali kubwa. Unatakiwa uende hospitali kubwa za serikali au binafsi
B. Kutojielezea vizuri. Hawatoi maelezo yaliyojitosheleza.
C. Uelewa wa daktari na jinsia. Ukikutana daktari kipanga atakuandikia dawa nzuri na pia angalia jinsia hasa mwanaume.
D. Aibu. Acha kuwa na aibu hayo ndiyo mashai yako
Daktari aliniandikia dawa 4 ( majina kampuni) ambazo zilinigharimu kiasi cha 60,000 za kitanzania. Dawa mbili hazikuwepo hospitalini, zingine nilinunua kwenye duka la dawa. Mpaka leo risiti zake ninazo. Nimewekea lamination kabisa
Nilitumia dawa kwa miezi 3, ilikuwa 2015-06-06. Niliacha kujichua na kuangalia picha za X.
Baada ya kutumia dawa hizi niliona mabadiliko haya
1. Uume ulirudi katika hali yake ya awali. Ulikuwa mkubwa
2. Nilianza kusimamisha mpk unauma. Nasimamisha msumari
3. Nilianza kupata hisia ya kujamiana
4. Niliona mapigo ya moyo yanaenda mbio, moyo kusukuma damu nyingi kuepeleka kwenye uume.
Baada ya hapo nilianza kutumia asali ya nyuki wakubwa na wadogo pia. Nilitumia kama wiki 3 hivi. Asubuhi nakunywa vijiko 3 mpk 4, mchana na usiku. Kuna wakati nakunywa asali iliyojaa kwenye kichupa cha milimilita 300 kwa mara moja, kuna wakati natumia kulia na ugali.
Nikaja kutumia dawa (jina kapuni). Nilimeza kidonge kimoja tu kwa usiku mmoja na sijawahi kutumia tena mpaka leo hii. Kinauzwa 1500 mpaka 3500 kulingana na mkoa
Nikianza kupiga show natumia dakika 22 mpaka 30, hamu napata, kwa siku naweza kupiga show nyingi na simwagi mapema, naenda style zote. Kuna wakati sili chakula kwa wakati, maji sinywi kwa wakati na sifanyi mazoezi ila show napiga mpaka shemeji yenu anadai amechoka.
Unayesoma soma comment hii, matibabu ya kweli yapo hospitali. Nenda hospitalini. Ukapate tiba na acha kujichua. Siuzi dawa wala siyo daktari. Mimi ni mhanga kama ulivyo wewe tu.
 
Basi kama ndo hivyo binadam tunatofautiana kikubwa sana, na MUNGU kamuumba kila mojawapo kuna kitu kapendelewa na kipo kanyimwa. Mm nilikua mhanga wa hyo kitu ni almost miaka 10+ NIlijichua. Uume wangu haukuwahi kua mdogo kama wa mtoto, na nlikua nasimamisha vzuri kabisa, nlikua nachakata mbususu tena sikojoi haraka mpaka naamua kuahirisha baada ya dem kulalamika. Ila changamoto n kiuno kuuma, na uoni unakua hafifu kidogo. Lakini athari za kukojoa dakika moja sio kweli inategemea na mindset yako na kujiamini kwako... NB nlikuja kuacha bila kutumia doz na niko fist 100%

Hakuna udhibitisho wa kisayansi kweli kwamba punyeto inapunguza nguvu za kiume , ni maoni ya watu tuu maana skuhiz kila mtu n mtaalam.

Nb Punyeto ni chukizo kwa mwenyezi MUNGU....kuacha punyeto n ww kuamua tuu naacha inawezekana, bila hata dawa na ukawa fiti. Miili yetu haifanani
 
Mkuu hizi dawa hazina madhala yeyote na bora zaid apa ip kati ya hizi tatu
 
Mim kwa upande wangu ilikuweza kutokomeza tatizo la kuwahi kufika kilelen mapema jitahidi fanya mambo haya
- Fanya mazoez hasa ya tumbo push up tumbo likaze
-kunywa chai tangawizi kwa kias angalau mara moja moja
- punguza Stress
 
Point kubwa hapo ni kupunguza stress
 
Ni matatizo tuuh
Wasiliana nasi kupata hivi vidinge tiba 0699254400
IMG-20230630-WA0021.jpg
 
Watu wengi wanahangaika na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila mimi nitaongelea katika suala la kujichua tu (punyeto). Kumbuka mimi siyo daktari wala siuzi dawa. Hii ni elimu tunapeana kama wanaume
Amini hili suala la upungufu wa nguvu za kiume baada ya kuathirika na punyeto linatibika na mimi nimepona. Huu ni ushuhuda wangu 100%. Nilianza tabia ya kujichua baada ya kuangalia picha na video za utupu, nilijichua kwa muda mrefu na madhara yake yalikuwa haya
  • Nawahi kumaliza chini ya dakika 1
  • Uume unakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo
  • Sina hisia na mwanamke. Ile hamu ya kusimamisha haipo ipo kwa mbali sana
  • Mapigo ya moyo kupungua hata kutokuwepo. Hii hutokea ambapo unapokuwa na hisia za kujamiana, mapigo hudunda haraka haraka kusukuma damu nyingi kupeleka kwenye uume. Hali hii hutoweka
  • Uume kusimama legelege, huwezi kusimamisha kama msumari kwa dakika 2 na kuendelea.
  • Ukisimamisha na ukapata msuguano kidogo sana, unaweza ukapizi ndani ya boksa. Unaweza ukawa unashikana na mwanamke kimahaba ila ukajikuta umemwaga hata haujavua nguo.
Unajua kuchanganyikiwa kwa mwanaume ni katika hali hii. Nilichanganyikiwa hasa. Nilichofanya
Nilienda hospitali moja ya private (Jina kapuni) huko Dodoma nikamuelezea dokta hivi
1. Nawahi kumaliza, chini ya dakika moja
2. Mimi ni muathirika wa punyeto. Nilikuwa najichua
Watu wengi wanashindwa kupata matibabu kwasababu
A. Hawaendi katika hospitali kubwa. Unatakiwa uende hospitali kubwa za serikali au binafsi
B. Kutojielezea vizuri. Hawatoi maelezo yaliyojitosheleza.
C. Uelewa wa daktari na jinsia. Ukikutana daktari kipanga atakuandikia dawa nzuri na pia angalia jinsia hasa mwanaume.
D. Aibu. Acha kuwa na aibu hayo ndiyo mashai yako
Daktari aliniandikia dawa 4 ( majina kampuni) ambazo zilinigharimu kiasi cha 60,000 za kitanzania. Dawa mbili hazikuwepo hospitalini, zingine nilinunua kwenye duka la dawa. Mpaka leo risiti zake ninazo. Nimewekea lamination kabisa
Nilitumia dawa kwa miezi 3, ilikuwa 2015-06-06. Niliacha kujichua na kuangalia picha za X.
Baada ya kutumia dawa hizi niliona mabadiliko haya
1. Uume ulirudi katika hali yake ya awali. Ulikuwa mkubwa
2. Nilianza kusimamisha mpk unauma. Nasimamisha msumari
3. Nilianza kupata hisia ya kujamiana
4. Niliona mapigo ya moyo yanaenda mbio, moyo kusukuma damu nyingi kuepeleka kwenye uume.
Baada ya hapo nilianza kutumia asali ya nyuki wakubwa na wadogo pia. Nilitumia kama wiki 3 hivi. Asubuhi nakunywa vijiko 3 mpk 4, mchana na usiku. Kuna wakati nakunywa asali iliyojaa kwenye kichupa cha milimilita 300 kwa mara moja, kuna wakati natumia kulia na ugali.
Nikaja kutumia dawa (jina kapuni). Nilimeza kidonge kimoja tu kwa usiku mmoja na sijawahi kutumia tena mpaka leo hii. Kinauzwa 1500 mpaka 3500 kulingana na mkoa
Nikianza kupiga show natumia dakika 22 mpaka 30, hamu napata, kwa siku naweza kupiga show nyingi na simwagi mapema, naenda style zote. Kuna wakati sili chakula kwa wakati, maji sinywi kwa wakati na sifanyi mazoezi ila show napiga mpaka shemeji yenu anadai amechoka.
Unayesoma soma comment hii, matibabu ya kweli yapo hospitali. Nenda hospitalini. Ukapate tiba na acha kujichua. Siuzi dawa wala siyo daktari. Mimi ni mhanga kama ulivyo wewe tu.
Asante kwa kushare uzoefu wako Mkuu, nakuja PM mkuu
 
dah hali ni mbaya kiupande wangu wakuu
Mkuu unaweza ukashare tatizo lako, lilianzaje, kipi unahisi ndo kisababishi, hatua gani za kimatibabu umefanya mpaka sasa.... Wapo wadau hapa watafunguka na huenda ukapata mwarobaini wa tatizo lako.
 
Back
Top Bottom