Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Pole Sana! Mie tatizo hilo linanikuta hasa nikioga maji ya baridi. Nafuu yangu ninapooga maji ya moto. Kushindana na hali hiyo mara baada ya kuoga huwa navaa jacket zito ili mwili kupata joto haraka. Hospitali zote nilizopita sijapata majibu ya kutatua tatizo wala kuweka hapa. Narudia kukupa pole maana shida hiyo ninaiishi.
Huenda hili likawa jibu sahihi zaidi manake hata mm njii hii nimeitumia sana na imenisaidia, maji ya chumvi yana tabia hii pia. So ukitoka kuoga vaa koti zito au jifuke blanket kubwa ili mwili uattain jotoridi la kawaida.