Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Pole sana!Nshaombewa pia mkuu especially my Mom ana upako sana every neighborhood use her prayer and win lkn mm bado kwa kweli.
Tuwe na busara kumshauri mtu anapohitaji msaada wa kimatibabu. Imani ina nafasi yake katika uponyaji na matibabu yana nafasi yake katika uponyaji.
Imani katika kuomba ni jambo jema lakini pia matibabu ni muhimu ndio maana Mungu aliwapa watu wengine uwezo wa kuwa Madaktari.
Allergies inaweza kuwa sababu kubwa kama ulishatibiwa bila mafanikio. Ingawa unaweza kucheck organs zako kidney, liver magonjwa mengi yanajificha huko. Ni ushauri tu mpendwa!
Allergy inaweza kutokana na mimea inayokuzunguka chakula mafuta ya kupikia au ya mwili, sabuni, dawa, perfumes au air freshners.