Tatizo la LUKU limerudi tena

Jana Geita hakukuwa na umeme! Hasa karumwa na nyang'hwale yote!
Mh! Mbona umetaja kaeneo kadogo sana wakati kanda nzima ya ziwa ilizimiwa kutwa nzima.

Hapo sijaelewa maeneo mengine ya nchi ilikuwaje!
 
Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao.

Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
Huduma ya LUKU
 
Hili ni donda sugu kwa sasa. Umeme haipiti siku bila kukata. Maeneo ya chuo kikuu na changanyike kila siku lazima umeme ukate! Hata sasa umeme haupo kuanzia saa tatu asubuhi!! Tanesco tunarudi kulee, enzi za mabwawa kujaa matope! Wacheni huu utapeli mbaya kwa watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…