Dynamic Mult-talented Man
New Member
- Oct 19, 2019
- 1
- 1
Habari nyote! Mi mgeni humu! Naomba kukaribishwa. Tahadhari juu ya jibu lako khs mate ya mbwa. Ikitokea mbwa huyo ana vimelea vya Rabies mhusika ataambukizwa na itakuwa hatari zaidi kuliko hiyo fungal infection. Nashauri mate ya mbwa yasitumike. Ni ushauri tu kwa uelewa wangu. Kikubwa tengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa fungus wao wenyewe watakimbia. Mfano ukavu na isafi. Asante.Nijuavyo mimi mate ya mbwa ni dawa ya kidonda,hata kama kilikua cha ndagu...kitakauka
Ndo ushampenda na hapo hujatoka bila kumpaJaman wanaume mjitahid usafi unakuta mtu anavuzi hilo harufu ss
Hahahaaa USSINIKUMBUSHE KABISA
LY 1999
NKAHISI NTAKUWA MGUMBA ACHA TU KAMA UKIMWI.SIKUPATA SIPATI TENA NKAISHIA KUPATA WATOTO WAWILI HATA SIJAOA MAANA NILIHISI MKE SIJUI KAMA ATAVUMILIA HUU MUWASHO LOH......JAMA MWL WASIWASI YUPO??GAFLA NKMAKUTA MLIMAN NAE ANASOMA SIJUI ALIPANGA KUWA NANI NA MVI ZILE
NA YULE MWL.MFUPI MSHENZI ANA MBIOOO KHA ALINTRSA NA VILE VIDEMU VYA JIONO ACHA LOH
Yes m
Mpwaaa FORM SIX 1999 NIMEMALIZA PALE
Chemsha na maji na kunywa kikombe kimoja asubuhi na usiku wakati wa kulala kikombe kingine
Anachemsha na kunywa?
Sawa! Amefanya kuedit sasa hivi, mwanzo hakuweka njia ya kutumia.Jibu hilo hapo
Ok, ukiwa mtu wa mwanzo kukomenti kwenye uzi halafu ukakuta kuna makosa, uquote uzi ili hata kama atarekebisha makosa yataendelea kuonekana kwenye quoteSawa! Amefanya kuedit sasa hivi, mwanzo hakuweka njia ya kutumia.
Uko vizuriTunauita kivumbas au mbarakuva unatibu maumiv ya tumbo la hedhi kwa nyongeza.
Haya majani yanaitwaje Mkuu kwa sisi tunaotokea huku mikoa ya nyanda za juu kusiniKwa wale ambao wamekuwa wakihangaika kutibu tatizo hili bila kupona na dawa za hospitalini za kutibu fangasi zimekuwa na gharama sana na pia kushindwa kutibu vizuri tatizo hili tajwa hapo juu.
Dawa nzuri ya asili ni hii hapa.
Chemsha na maji na kunywa kikombe kimoja asubuhi na usiku wakati wa kulala kikombe kingine
View attachment 1288552
View attachment 1288553
We kunywa ile lyapalwanda (ikali) ni mwisho wa matatizoHaya majani yanaitwaje Mkuu kwa sisi tunaotokea huku mikoa ya nyanda za juu kusini
Sent using Jamii Forums mobile app