Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Ivi wanajamvi mtu anaweza akawa na STD's alafu asionyeshe Dalili zozote?

Na je kama alisha wai ugua uko nyuma na akatibwa akapona kabisa je inaweza ikabaki kwenye Damu? is this possible?? yani awe okay ila kwenye Damu ana STD
 
Ivi wanajamvi mtu anaweza akawa na STD's alafu asionyeshe Dalili zozote?

Na je kama alisha wai ugua uko nyuma na akatibwa akapona kabisa je inaweza ikabaki kwenye Damu? is this possible?? yani awe okay ila kwenye Damu ana STD
Kama. Katibiwa kapona inabakije kwenye damu?? Hapo basi ni kwamba hakupona maana kupona ni kwamba ugonjwa haupo kabisa.......na kuna std ambazo huwezi ona dalili mapema hadi upime
 
Kama. Katibiwa kapona inabakije kwenye damu?? Hapo basi ni kwamba hakupona maana kupona ni kwamba ugonjwa haupo kabisa.......na kuna std ambazo huwezi ona dalili mapema hadi upime
Nna Ndugu yangu alisha wai ugua ilikua mwaka jana ivi bahati nzuri aliwai onspot baada ya kuona dalili na alipata dawa akapona na baada ya kuona amepona akapima kucheki status alikua clean amd Clear hakuwa na ugonjwa tena


Sema sasa Kuna mda anasikia kama kichom iv kwa mbali kina vita alafu kinavuta alafu kinapotea kwenye Uume ni hali ya kuja na kupotea hana dalili nyingine za STD hana.
 
Pole sana ndg!poe
Umenitesa miaka mitatu huu ugonjwa babae,nilikuwa nikivaa jinsi ni mateso likigusa tu mbupu ni maumivu makali natembea kama nna matege
Pole sana ndg!
 
Kweli kabisa raha ipo kwenye kujikuna, ila baada ya hapo maumivu yake si ya dunia hii!
 
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka I seehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£!
kuna jamaa yang aliupata, mda akiamua kujisugua anajisugua mpk unga unajaa chini halaf anaita kuku walee, wale kuku wakitoka hapo ni chafya na kuanguka kwa kulewaa, ilikua wakimuona tuu anaingia chemba wanasimama nje kwa furaha.
 
Waliosoma Tanga school na Galanos wanaujua, kuna dawa flan ina rangi ya kijani ukiitumia lazima utafute gazeti ili upepee
Ni spirit hiyo ya kipindi hichoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…!
Lazima uruke mayenu!
 
huu ugonjwa me nadhani chanzo hasa ni joto(wet) si uchafu japo uchafu inawezakuwa sub factor
No pamoja na joto, uchafu ndio sababu ya msingi! Kuoga, kujikausha na kunyoa ni kinga murua wa kizaazaa hiki!
 
Yaani ww ni fundi sana wa kueleza kitu cha maumivu kiasi hicho umekibadirisha kuwa burudani na comedy!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa mwanamke uke unawasha vibaya mno...Tena kwa nje hususani ikifika usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza saidia kupatikana kwa hyo mmasai wa dawa ya ulcers?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…