Mkuu mi fangasi walinitesa sana hasa maeneo ya p*mbu. nimeshapakaga hizo cream nyingi, ilifika wakati nikawa nadhani labda ninapungukiwa kinga ya mwili. Mke wangu alikuwa akiniambia nitumie ndimu ya unga (nafikiri inatoka china) unakunywa na maji glasi 3X3 kwa siku, siku zote nilimkatalia, siku moja nilikuta mjadala kama huu hapa jf, member mmoja alikazia kuwa dawa nzuri ya fangasi ni apple cider vinegar, nikapanga kwenda kuinunua, lakini mi nilisomea mapishi kidogo na nimeshapika kidogo mahotelini, naijuwa kuwa apple cider vinegar ni ndimu iliyoandaliwa kiwandani ikaonezwa viungo vingine na rangi. Siku 1 nikawazaaa, nikanunua ndimu nikaoga, nikaikata katikati nakamulia kiduchu mkononi kisha nazipaka hizi kende kama mafuta hivi kila baada ya kuoga. Ni kama siku 2 au tatu hivi zilipotea mpaka leo.