hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
Ndugu yangu Pole.
Nakubaliana na mtoa maelezo hapo juu ingawa siyo yote. Kwanza ukienda mbeya au Kilimanjaro au kwa wale walioko Ulaya huwa hawasumbuliwi sana na fungus kwa sababu ya ubaridi. Hii ina maana gani?.
Mkuu Willy, sehemu ulizozitaja ni maeneo yenye baridi kali...kwa kawaida jotoridi la binadamu ni nyuzi 37,( 37°C)... juu ya hilo kwa siasi fulani ni hatari kwa mwili, huaribifu vimengenya(enzymes) vya mwili nk... Ni kitu hicho hicho kitokeacho kwa bacteria...wakiwa katika mazingira(jotoridi na hali ya hewa ya kuridhisha hawaleti madhara)...
BARIDI:
nikimaanisha, nguo nzito mtu atumiazo wakati wa baridi husaidia kutunza joto la mwili ili aweze kuishi na ndio maana utaona watu wanatumia nguo nyingi bila Fungus(Fungi) wakati wa BARIDI.
JOTO:
lakini kwa nyakati za joto(kiangazi/summer n.k) huitaji kutumia nguo nyingi kutunza joto la mwili, ..mwili unajitosheleza wenyewe bila nguo za ziada (Body autoREGULATION)..
Sasa iwapo mfumo huu ukiingiliwa(body autoregulation).. yaani self body adjustment...fungus zaweza kutokea kama ambavyo nimekwisha kusema pale juu.