Pole na bibie pia au ni wewe tuu peke yako.ebu tumia hiyo dawa ulopewa hapo juu ikifaa utujulishe.
Mkuu hiyo kitu ni noma sana,inaweza ikawa fungus au ukawa una.alergy ya yeast-kama unawashwa sehemu za haja kubwa
nakushauri utumie dawa inaitwa Locoid 0,1 na utumie ifuatavyo: paka asubuhi na jioni kwa wiki moja. Alafu paka asubuhi tu kwa wiki ingine, alafu paka mara 3 kwa wiki inafuatia alafu paka kila siku kwa wiki ingine moja.
Pia nakushauri uache bia na vyakula vyenye yeast, zingatia usafi sana na kula mboga za majani.
Pole sana mkuu
mkuu utamaliza hizo dawa na hela pia utaishiwa na bado fangasi hawataisha, tafadhari jaribu ndimu kama nilivyokushauri hapo juu, mwenyewe utaniambia ni siku 2 tu kwishney, usipoteze hela na muda kwenda pharmacy
Pole sana, hiyo inaitwa vaginal candidiasis. Inaweza kutibiwa kwa dawa za kuweka Kama clotrimazole, gynozol vaginal cream ama gelatin capsules. Kuwa msafi, cotton under pants. Kama kuna uchafu wenye harufu wewe na partner wote mwatakiwa kumwona daktari na kupata matibabu! Pia uchunguzi Wa saratani ya shingo ya kizazi ni muhimu kwa kila mwanamke mwenye mahusiano ya tendo la ndoa angalau mara Moja kila mwaka
mkuu utamaliza hizo dawa na hela pia utaishiwa na bado fangasi hawataisha, tafadhari jaribu ndimu kama nilivyokushauri hapo juu, mwenyewe utaniambia ni siku 2 tu kwishney, usipoteze hela na muda kwenda pharmacy
Mkuu mi fangasi walinitesa sana hasa maeneo ya p*mbu. nimeshapakaga hizo cream nyingi, ilifika wakati nikawa nadhani labda ninapungukiwa kinga ya mwili. Mke wangu alikuwa akiniambia nitumie ndimu ya unga (nafikiri inatoka china) unakunywa na maji glasi 3X3 kwa siku, siku zote nilimkatalia, siku moja nilikuta mjadala kama huu hapa jf, member mmoja alikazia kuwa dawa nzuri ya fangasi ni apple cider vinegar, nikapanga kwenda kuinunua, lakini mi nilisomea mapishi kidogo na nimeshapika kidogo mahotelini, naijuwa kuwa apple cider vinegar ni ndimu iliyoandaliwa kiwandani ikaonezwa viungo vingine na rangi. Siku 1 nikawazaaa, nikanunua ndimu nikaoga, nikaikata katikati nakamulia kiduchu mkononi kisha nazipaka hizi kende kama mafuta hivi kila baada ya kuoga. Ni kama siku 2 au tatu hivi zilipotea mpaka leo.hii dawa nakumbuka tulikuwa tunaitumia kijijina lakini kwanza tunaichoma ndimu kidogo ipate moto
Mkuu mi fangasi walinitesa sana hasa maeneo ya p*mbu. nimeshapakaga hizo cream nyingi, ilifika wakati nikawa nadhani labda ninapungukiwa kinga ya mwili. Mke wangu alikuwa akiniambia nitumie ndimu ya unga (nafikiri inatoka china) unakunywa na maji glasi 3X3 kwa siku, siku zote nilimkatalia, siku moja nilikuta mjadala kama huu hapa jf, member mmoja alikazia kuwa dawa nzuri ya fangasi ni apple cider vinegar, nikapanga kwenda kuinunua, lakini mi nilisomea mapishi kidogo na nimeshapika kidogo mahotelini, naijuwa kuwa apple cider vinegar ni ndimu iliyoandaliwa kiwandani ikaonezwa viungo vingine na rangi. Siku 1 nikawazaaa, nikanunua ndimu nikaoga, nikaikata katikati nakamulia kiduchu mkononi kisha nazipaka hizi kende kama mafuta hivi kila baada ya kuoga. Ni kama siku 2 au tatu hivi zilipotea mpaka leo.
kwahiyo wenye avatar ya nyani ni manyani?. nakushauri ujitahidi kuwa mkavu tumia taulo la pamba yamtumba ndio mazuri zaidi. ya dukani mengi yanafuta maji badala ya kunyonya halafu kuwa makini na kushare vifaa vya kuogea. isipofanya hayo utakuwa unapata recurrence mara kwa mara hata ukipata antifungal za kisasa kabisa.Bro yaani hata AVETAR yangu umeshindwa kuing'amua??? Me ni mwanaume bana!!!!!!