Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Wanajamvi heshima kwenu,

Mimi nilisumbuliwa na fangas kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri, lakini namshukuru mungu nimepona ila wakati naumwa mapaja yangu yalibadilika na kuwa meusi sana mpaka yanakawa yanatisha sana ila kadri siku zinavyosonga yanaanza kubadilika.

Sasa, naja kwenu JF Doctors kwa ushauri wenu kuwa nawezaje kupata dawa ya kupaka ya kuweza kuondoa huo weusi?

Nitashukuru sana wandugu endapo nitafanikiwa kwa hili
 
Msaada dem wangu anafangasi sana anawashwa na kujikuna mpaka anatoa uchafu wa njano kiasi kwamba tukitumia kinga wakati sex uchafu wote mweupe unaomtoka unapandaa juu ya condom msaaada atumie dawa gani kwa hospital kaenda kapewa dox kamaliza dozi hiyo hali imerudi tena.
 

Aende hospitala atapewa viginal cream za kuondoa fungus na vidonge kama ni serious. Matibabu ya fungus yanategemea na usugu wake kwa hiyo ni vema pia amtafute gyno atamsaidia zaidi!!
 
Gynozol vaginal cream itamsaidia,anaingiza ndani ya uke na kupaka sehemu ya mashavu na pembeni chupi inapopita pande zote mbili (yaani kwa ndan) kwa siku saba. Usiku tu wakati amekoga na iwe ni muda wa kulala ili dawa ifanye kazi vizuri. Pia anywe maji kwa wingi na ahakikishe toilet ni pasafi kabla hajachutama. Vilevile asafishe uke kwa maji mengi na safi bila kutumia sabuni yoyote..ni muhimu kuvaa chupi kavu tena ikibidi iwe imekauka kwa joto la jua au anyooshe kwa pas na ahakikishe sehemu zake hzo amezikausha vizur wakat wa kuvaa kyupi.
Alipopewa dawa hospital (dox) ilitakiwa na wewe upewe ili mtibu tatizo kwa pamoja..i think it will help.
 


Samahi fangas ya sehemu za siri inakuaje
 
BAOSITA, ukitumia bila kuwa na kitu tumboni kwa ajili ya minyoo utapaswa kuweka kitu tumboni baada ya dakika ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Paka apple cider vinegar au white vinegar 3x kila siku hadi weusi uishe- approx. 14 days
 
Pole sana.kuna dawa bora kabisa inayotibu kwa uhakika tatizo ulilonalo iitwayo LMTM/PA19/NZ.wasiliana kwa namba 0776217417 kwa maelezo zaidi
 

Kwa watu wanene mara nyingi kuna confusion.Kuna msuguano katikati ya mapaja unaosababisha ngozi kubadilika rangi kuwa nyeusi na wakati mwigine unatokea usugu fulani hivi,sasa hii watu wengi hudhania ni fungus.kwa hiyo wanaanza kutumia dawa za fungus miaka nenda rudi lkn hawaponi.Sasa hili tatizo lako sina hakika kama sio huu msuguano.Maana fungus ikishapona hatutegemei iache makovu,kwa kawaida ngozi hurejea ktk hali yake ya kawaida.

Ushauri wangu,ungemtafuta mtalamu wa magonjwa ya ngozi akuangalie ili ijulikane kama kweli ni fungus au ni tatizo lingine.Maana hapa watu wengi wataelekeza zaidi mawazo yao kwenye fungus,sasa ikiwa sio yenyewe tutakuwa hatujakisaidi kabisa ndugu yangu.
 




mkuu mimi co mnene ila nilijaribu kwenda hosp. Nikaambiwa huo ni weusi huo ni wa fangas nilipewa dawa za kupaka ila naona hazijanisaidia, nikaona nije kwenye jukwaa hili naweza kupata ushauri zaid
 
nashukuru sana mkuu kwa kuniagizia hii dawa ila samahani mkuu inapatikana pharmacy au kwenye cosmetics
zipo supermarkets kwa wingi mkuu bei ni kati ya Tshs 2000-2500 kwa chupa kwa ACV ambayo ndiyo nzuri zaidi. ukikosa hiyo nunua white vinegar na hii ni Tshs 1000-1500 kwa chupa.
 
mkuu hyo dawa inapatikana kwenye maduka ya aina gani, unaweza niambia na bei yke?
Zipo kwa wingi supermarket zinatibu fungus wa mvunguni na wa kwapa au kikwapa na kufanya ngozi ilokuwa nyeusi kutokana na hao microbes kurudia rangi yake . bei ni tshs 200-2500 kwa apple cider vinegar (ACV) na Tshs 100-1500 kwa white vinegar. Mbali na kupaka unaweza kunywa kijiko kimoja cha ACV au WV na kuchanganya na maji (baridi au vuguvugu) glass moja kukuepusha na maumivu ya mwili na viungo. Tumia pia kwa kusukutua kuondoa harufu mbaya ya kinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…