Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

>Mh!!!
Hizi dawa zitakuja kutuua.
Nilivyokunywa nikazani nimemeza sumu.
>TUNASHUKURU KWA TIBA MKUU.

Ndio maana madaktari wanatoa dawa (dozi) kulingana na uzito wa mtu. Hizi dawa mnazokunywa dozi hiyo hiyo kwa mtu wa kilo 40 na wa kilo 120 msishangae mwingine akisikia kufa na mwingine asiposikia chochote! Pole mkuu uje utupe feedback.
 
Achana na stori za babu!Hii ni sayansi rahisi tu,sijasema unapona magonjwa yote.Nimesema fungus na minyoo sugu!Kama hujasumbuliwa na hivyo vitu,basi hii isikusumbue mkuu.Subiri watakaokunywa uone wanasemaje ndio unipinge.
nakuunga mkono maana hujaihusisha na miujiza. kikombe cha babu kilihusihwa na ndoto za miuujiza
 
Jamani sio uongo,mimi nimetumia na kupona fungus kabisa,japo sikutumia kama ilivoelezwa hapo juu,mm nilikuwa navimenya na kutafuna punje kama sita hivi asubuhi na jion,niko poa kabisa!kuhusu kuongeza uwezo katika mechi,sina uhakika maana sijabahatika kupata partner tangu nianze kutumia dawa hii
 
Mwanangu ailpata fungus(ringworm) nikampaka kitunguu swaumu kilichosagwa, kesho yake pakaanza kukauka. Nilimpaka kwa siku tatu tu na sasa wameisha kabisa.
 
hiiii,,,,,, wadau ni ipi dawa sugu ya fangasi ukeni,,,,:frusty:
 
...daah ! eti TETESI; FANGASI..hebu fafanua utetesi wa fangasi ukovipi hapo ? ngoja wataaluma wa tetesi hizi waje...
 
hiiii,,,,,, wadau ni ipi dawa sugu ya fangasi ukeni,,,,:frusty:

Pamoja na machemicals wadau watakushushia hapa mimi nakushauri nunua mafuta ya ubuyu halisi na paka kila mara ukioga baada ya kujikausha vizuri. Halafu dada yako akiwa nyumbani huwa havai manguo kama skin tight na wakati mwingine inabidi ukawe wazi hewa ipite. Unavaa chupi aina gani, achana na chupi za polyester, vaa cotton!!

Unarudia chupi baada ya siku ngapi? Unatakiwa urudie siku baada ya mwezi mmoja?
Ukifua chupi unaanika wapi? Fua anika kwenye jua na piga pasi kabla ya kuvaa?
ukioga unajikausha? Taulo unafua baada ya muda gani? Jikaushe vizuri na taulo la cotton na lifuliwe kila wiki.

Subiri waje wa kukupa ushauri zaidi. My wife ni mtaalam sana wa usafi hata mimi alinisaidi asana kuachana na fungus (hata wanaume wanazo hasa Dar es Salaam) kwa sababu ya hali ya hewa hasa kwa wale wenye mapaja yanayogusana.
 
Too bad...umeacha mpaka wamekuwa sugu
nenda hospital mkuu
 
Pole sana
Zingatia usafi binafsi wa mwili wako kwanza,Jisafishe vizuri kwa maji mengi bila kutumia sabuni kwani zinaua bacteria ambao ni safe sehemu hizo.Hakakisha nguo zako za ndani kama pichu ni kavu kabla hujavaa then maliwatoni pawe safi kabla hujachutama...........
Nenda hospital kwa matibabu
 
Reactions: BAK
pole,hao fangasi wameila sana?tumia vitunguu saumu,utaiokoa na itakuwa safi kabisa kwa matumizi
 
pole sana, tumia gynazol cream ni nzuri tatizo litaisha. Pia zingatia usafi wa mwili wako hasa ukeni.
 
Wakuu ninasumbuliwa na fangus kwenye unyayo.Viupele vinajitokeza vinawasha then baadae hufa na kuacha alama.Nimepaka dawa laki hazisaidii.Naombeni anayefahamu dawa nzuri ya kumeza anijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…