>Mh!!!
Hizi dawa zitakuja kutuua.
Nilivyokunywa nikazani nimemeza sumu.
>TUNASHUKURU KWA TIBA MKUU.
Ndio maana madaktari wanatoa dawa (dozi) kulingana na uzito wa mtu. Hizi dawa mnazokunywa dozi hiyo hiyo kwa mtu wa kilo 40 na wa kilo 120 msishangae mwingine akisikia kufa na mwingine asiposikia chochote! Pole mkuu uje utupe feedback.