Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

TOKOMEZA FUNGUS NA BACTERIA SEHEMU ZA SIRI

1. Inaondoa muwasho kwenye ngozi
2. Inaondoa fungus za sehemu za siri (muwasho wa Nje)
3. Inasaidia kuondoa muwasho au bacteria watokanao na uambukizo wa matumizi ya vyoo vya jumuiya (public toilets)
4. Inaikinga ngozi isipatwe na bacteria
5. Inaifanya ngozi kubaki na unyevu na ubaridi unaoingia hadi ndani ya ngozi.
6. Inaifanya ngozi yako kubaki na rangi yake ya asili (haichubui ngozi)
Sabuni HERB inapatikana Mwenge, Dar Es Salaam, duka linaitwa UFAHAMU 1000, lipo karibu na Ofisi ya TRA au karibu na AFYA Dispensary, karibu na uwanja wa mpira Mwenge, karibu na Kanisa la Sabato, au karibu na Kanisa la Kilutheri

Mawasiliano: 0755-522018
 

Attachments

  • 555069_203402309835152_1752887783_n.jpg
    555069_203402309835152_1752887783_n.jpg
    64.6 KB · Views: 161
Pole sana mkuu.
Nianze na heading yako nahisi haijakaa kiungwana.
Tiba.
Namna ya kupambana na fungus sehemu za Siri ni kuepuka kuvaa nguo zenye unyevunyevu siku zote,hususani nguo za ndani,pili ukimaliza kuoga jifute vizuri na ukauke kabisa ndio uvae nguo tofauti na hapa tatizo halitaisha.tumia limao kupaka katika eneo linalohusika baada ya kuoga na kujikausha vema kwa taulo,tahadhari inawasha kwa muda mchache lakini Ina instant positive results.
 
What?Hapa n jamii forum... unaongea vyovyote, ilmrad isiwe 'pumba' na lsiwe tusi!

Mkubwa, kama madawa yamebuma hep pumzka kdogo but though am not a dr by proffessional, nakshaur uanze kampen ya usaf wa mwl kwa sabuni zenye dawa huku ukibadlsha 'kufuli' kama wadada ... yaani asubuh na jioni mwsho ukpata nafas jipe hewa kwa kupiga 'freestyle' yaan usivae chup ..

sasa ikisimama inakuaje mkuu??
 
tumia tiba ya ndugu MziziMkavu mimi nishawahi kuitumia inasaidia sana.... ila inabidi ujikaze mkuu inavuruga system sana kwa dakika 10 hivi utaona rangi zote
 
Last edited by a moderator:
msaada ni mwaka wa pili huu nmejarbu daw mbalimbli ila imeshindkana yani adi ngozi imebadlika rangi

mkuu pole sana mtumishi wa mungu
ingawa wakiingia sana kwenye zile naniino wanapunguza ukali wa mbegu lakini kama ulivyokuwa muwazi mungu akawaadabishe maadui zako uzao wa twins ukawe kwako milele

umenikumbusha mbali nilisoma pugu sec nilipomaliza nilijua ni kilema cha milele 1999 nikapona 2002 usiwaze sana mkuu mungu ni mweza yote usiguse miti shamba nenda tu kwa mdk watakusaidia usichoke kila dk ana garama na ujuzi wake ukumbuke we ni huko wapo wanaoteseka upande wa mbili niko na watoto hapasiwez sema na anajikuna unaweza hisi anaitaji mshedede kumbe ni kale ka fungus
polen sana niliteseka sana kwa muda jithadi kuwa muwazi kwa ma dk

nasema hivi maana kuna wanaoteseka na fungus kwa kula yale mambo yetu kule ndani zaidi matokeo ulimi ausemi mudomo ausemi na lips usimwambie mtu ukifika kwa dk sema live
 
Heshima sana kwako MziziMkavu


hahaa mamndenyi jamani msaidieni huyu
anyway ameshindwa kupunguza ukali wa maneno aseme pembeni ya ndenga basi jamani watoto tunashindwa kufungua wakiwepo naona mmoja ananiuuliza dadyyyyy numbuu ni nini bahati akusoma za mwanzoni loh
nilihisi kumwambia detol ya unga
 
duh! hiyo ni PE pumbu erosion. pale pond boys ni kawaida kuwapata.
 
Umetumia neno kali sana. Kama inawezekana rekebisha kidog. Samahani kama ntakosea.

Hebu nisaidie mbadala wa neno pumbu/mapumbu tafadhali.

Ukiona sentesi hazijatokea alama hizi ******** basi hilo si tusi wala si neno baya hapa JF.
 
Mambo wadau nmetembea kwenye mahosptal nying nikaonge na madaktar weng nkawaulza kuhusu magonjwa ya mara kwa mara yanayowakumba wasichana wa kitanzania wakaniambia ni uti na fangas ukeni. Nikawafkria vjana wenzangu wanaopenda kunyonya nyonya uke hovyo hovyo nikawaonea huruma sana as cancer ya kweny koo inavyowala ukichanganya na mapombe magumu wanayokunywa kabla ya gemu ndo kabisa hahaha polen sana
 
hujaeleweka bado kwa hiyo unachokimaanisha hapa ni huo mchezo ni mbaya kwa pande zote au unamaanisha we huwezi kuzama chumvini ila mwenzio ye ndo atumie maik yako au?
 
Chumvini noma na matibabu hapa hakuna hadi india. We piga katerelo(ile ya wahaya) hakuna kuzama jimboni. Afya ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom