Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mambo wadau nmetembea kwenye mahosptal nying nikaonge na madaktar weng nkawaulza kuhusu magonjwa ya mara kwa mara yanayowakumba wasichana wa kitanzania wakaniambia ni uti na fangas ukeni. Nikawafkria vjana wenzangu wanaopenda kunyonya nyonya uke hovyo hovyo nikawaonea huruma sana as cancer ya kweny koo inavyowala ukichanganya na mapombe magumu wanayokunywa kabla ya gemu ndo kabisa hahaha polen sana

Mkuu huo utafiti wako balaa aisee , sikuwahi kufikiri kwamba ipo siku nitakutana na thread kama hii.
meningitis ethics za udaktari zinasemaje kuhusu privacy ya mgonjwa ?
 
Last edited by a moderator:
Magönjwa ya ukeni ni balaa utakuja uugue fangus za midomo km mbuzi aliegua midomo baada ya kula nyasi zenye maji km kuna ambaye alishawahi kuuona huo ugonjwa ni noma
 
Mkuu huo utafiti wako balaa aisee , sikuwahi kufikiri kwamba ipo siku nitakutana na thread kama hii.
meningitis ethics za udaktari zinasemaje kuhusu privacy ya mgonjwa ?
Kwani kuna privacy ya mgonjwa yeyote iliyo funjwa...? ukisema OPD case za wanawake ni UTI and vaginal candidiasis umevunja privacy.....???
 
hujaeleweka bado kwa hiyo unachokimaanisha hapa ni huo mchezo ni mbaya kwa pande zote au unamaanisha we huwezi kuzama chumvini ila mwenzio ye ndo atumie maik yako au?

Baelezee, yeye ndo anataka aendelee ku2mia maik yake.
 
Umetembelea mahospitali nyingi? Hazina idadi?
Unataka kutuambia kwenye top 10 diseases za kupigana nazo kwa nguvu zote (huwa zinarekodiwa kwenye kitabu maalum cha wizara ya afya kwa ajili ya takwimu za kupanga mikakati) tuongeze uti na fungus?! Malaria sio issue tena?
Mambo wadau nmetembea kwenye mahosptal nying nikaonge na madaktar weng nkawaulza kuhusu magonjwa ya mara kwa mara yanayowakumba wasichana wa kitanzania wakaniambia ni uti na fangas ukeni. Nikawafkria vjana wenzangu wanaopenda kunyonya nyonya uke hovyo hovyo nikawaonea huruma sana as cancer ya kweny koo inavyowala ukichanganya na mapombe magumu wanayokunywa kabla ya gemu ndo kabisa hahaha polen sana
 
Mleta mada acha uongo tunajua fika wewe mwenyewe bila kwenda chumvini ngoma haisimami kama uongo sema
 
Umetembelea mahospitali nyingi? Hazina idadi?
Unataka kutuambia kwenye top 10 diseases za kupigana nazo kwa nguvu zote (huwa zinarekodiwa kwenye kitabu maalum cha wizara ya afya kwa ajili ya takwimu za kupanga mikakati) tuongeze uti na fungus?! Malaria sio issue tena?

kwani ukizama chumvini utapata malaria?
 
Magönjwa ya ukeni ni balaa utakuja uugue fangus za midomo km mbuzi aliegua midomo baada ya kula nyasi zenye maji km kuna ambaye alishawahi kuuona huo ugonjwa ni noma

Du! Mkuu ugonjwa gani huo unaoletwa na nyasi zenye maji?!
 
Aisee mi nitasikitika sana kule chumvini maanake bado hujanishawishi.
 
Mkuu huo utafiti wako balaa aisee , sikuwahi kufikiri kwamba ipo siku nitakutana na thread kama hii.
meningitis ethics za udaktari zinasemaje kuhusu privacy ya mgonjwa ?

huyu jamaa hayuko serious kama gazeti la mwananchi na tafiti zao za kimagumashi.kuna issue ya ethical clearance haijazingatiwa kabisa kama ni kweli alifanya hizo ''interviews''
Daktari anaweza kusema kwa ujumla tu ni magonjwa yapi yanayoikumba jamii lakini hapaswi kumuongelea ugonjwa wa mgonjwa bila ruhusa ya muhusika.
 
Umetembelea mahospitali nyingi? Hazina idadi?
Unataka kutuambia kwenye top 10 diseases za kupigana nazo kwa nguvu zote (huwa zinarekodiwa kwenye kitabu maalum cha wizara ya afya kwa ajili ya takwimu za kupanga mikakati) tuongeze uti na fungus?! Malaria sio issue tena?
Kwa sababu ya maumbile ya wanawake, hayo ndo magonjwa makuu ambayo wengi wanayo kila siku
 
Asante kwa msaada wako maana watu tushakata tamaa na albendazole alben na zentel
 
sijaelewa hiyo mada nimeelewa ni mba sasa hao fangas wengine ni wapi au kama kuna threads inayoendelea kaka mzizi mkavu tupatie:help::help:
 
Wakuu,

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na fungus za miguuni.Nimejaribu kutumia hata vidonge vya kumeza bila mafanikio,kidogo kupaka asali kulisaidia ila ikawa ni nafuu ya muda.Naomba kama kuna yeyote mwenye kujua dawa au tiba ya kudumu anisaidie.

Christmas Njema!
 
Back
Top Bottom