Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Nakutunuka cheti cha udaktari!!! big up mamii...

akifuata tu haya uliyosema hana haja ya kwenda hospital na fungus atazisikia kwenye bomba...

Oh my...ni kusaidiana tu...wish ningepata ila sina taaluma hiyo
Karibu tena dia
 
Ili somo embu jaribu kutudadavulia zaidi
Dawa mnapaka kwa mda gani na jinsi gani ya kuutarisha huo mtindi
JF kama mdogo wake Muhimbili wallah Yu Will Laviitt
 
Hiyo ukishapata mtindi wako make sure na naturally au ule mtindi wa dukan.but iwe na kess sugar na pia isiwe flavoured unapaka usiku unapotaka kulaka had pale utakapoona hakuna muwasho wala nin na pia haichukui muda mrefu within two.or three days kama huna.severe symptoms za fangas ila kama una.fangas sugu tumia asubuh kabla ya kula kitu kunywa mtindi na pakaa sehem.iliyoathirika na pia usiku unapotaka kulala.

Usisahau hakikisha unao fangas (candida albicanas) (yeast infection)
 
Nishasoma sehemu hii,lakini kuitumia mhhh,imagine ziwa la mgando kwenye K,mhh...kuna alternative nyepesi ya juice ya limao...
 
Nishasoma sehemu hii,lakini kuitumia mhhh,imagine ziwa la mgando kwenye K,mhh...kuna alternative nyepesi ya juice ya limao...

Mbona mnatengeneza kachumbari huko? Mtindi, juice ya limao, namwengine aje aseme ya nyanya, vitunguu, vinegar, chumvi
 
Fungus Kwenye katikati ya vidole vya mguuni paka dawa ya mswaki asubuhi na jioni
 
Mbona mnatengeneza kachumbari huko? Mtindi, juice ya limao, namwengine aje aseme ya nyanya, vitunguu, vinegar, chumvi

hahhahah,ni alternative mkuu,hautumii vyote at the same time
 
Back
Top Bottom