Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

ndg wanajf nina imani mko salama, mimi nina tatizo la fangas kwa mda mrefu sasa, toka mwaka 2008 ilikuwa inanisumbua nimejaribu kutibiwa na kushauriwa sehemu tofauti tofauti tena kwa gharama kubwa bila mafanikio, nikitibiwa inatulia kama miezi minne au mitano tena inarudi na inarudi sehemu zilezile ilipokuwa a wali na mara nyingi huwa ni sehemu nne tu na kujirudia rudia lila mara sehemu zenyewe ni hizo kwenye mabano (sehemu za siri yaani uume na korodani zake, mkononi karibu na makutano ya mkono na kiganja, kifuani karibu na titi la kulia na mdomoni tena upande wa kulia) na moja ya dawa nilizotumia bila mafanikio ni i.v fluconazole enjection na aina tofauti tofauti za vidonge vyenye kuchukua dozi hata ya mwezi mzm.

Dalili zake: Dalili zake siku zote hali hiyo inapotaka kujitokeza hufanana lila mara , hizo sehemu husika panakuwa pa moto sana, huwasha sana, mwanzoni huwa kama pekundu kwa mbali, baadae huwa peusi na huvimba na kuonekana mithili ya sehemu ya ngozi iliyoungua kwa maji ya moto. Naomba msaada tafadhali hat a kama kuna dakitari bingwa wa magonjwa hayo naomba contact yake. Naomba kuwasilisha.

DAWA YA KUTIBU MARADHI YA FANGASI

Nunua Kitunguu Swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya

kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo

kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.


Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna

tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kama kawaida.Baada ya SIKU 14

utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!


Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana

presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena

presha! U
sisite kuja kutoa ushuhuda wako hapa.
 

Attachments

  • saumu.jpg
    saumu.jpg
    3.7 KB · Views: 380
TIBA NA USHAURI:
Kwanza,Hakikisha sehemu husika inakuwa kavu masaa 24.

pili pakaa poda yoyote ya kutibu fangasi asubuhi na usiku kwa wiki 4 mfululizo MYCOTA inaweza kukufaa.

tatu,tafuta na meza antibiotic eg cloxacillin 250mg(2 x 3 siku 5) kama sehemu yenyewe imekwa kama kidonda ili uweze kukausha
haraka.

Nne usivae boxer/chupi bali vaa bukta yenye kuruhusu hewa kupita na jikaushe vizuri baada ya kuoga(ni vizuri kusubiri ukauke kabla ya kuvaa nguo).
Usitumie sabuni zenye dawa kwani zitakusaidia kwa muda lakini zitafanya ngozi kupoteza uwezo wake wa asili wa kujilinda dhidi ya vijidudu(ngozi ina uwezo wa kujilinda kiasili,haiitaji msaada, na uwezo wake unaongezeka kadiri inavyoshambuliwa na vijidudu-)

Tano hakikisha unabadili nguo ya ndani kila siku na unavaa nguo safi na ikibidi uipige pasi kila siku.

Sita,tumia cream inayoitwa QUADRIDERM X 2 KWA SIKU 14 lakini ipake sehemu ikiwa kavu na kaa dk 15-30 kabla ya kuvaa nguo Mwisho,Muone daktari kwa ushauri na tiba zaidi.
 
Jamani hili swali hata mi niliuliza watu hawakujibu.hicho kipengele cha pili inawezekana ni alergy hivyo kajarb kucheki.hata mie nipo hivyo hivyo.kuna dawa nikimeza tu nackia mwili una washa,half naungua kunawaka moto baadhi ya sehem,kunakuwa pekundu baadhi ya sehem,nikiona hivyo nikienda hospital wananipiga cndano ya mshipa ya kuua sumu na wananipa vidonge vya cetrizine.baada ya hapo panapona half nabaki na alama nyeusi katika zile sehem zilizoathirika.cha kushangaza sasa, kila nikiungua ni sehemu zilezile zinajirudia.na weusi kuisha inachukua muda.nikienda hospital wanasema nisinywe dawa zenye sulphur.nashindwa kuzijua cjui ni zipi.hali hii ishajirudia mara tatu.hembu kajaribu kuchek na alergy.na unapohic hali ya kuwasha kuanza na kuungua wahi kumeza cetrizen.
 
Ndg wanajf nina imani mko salama, Mimi nina tatizo la fangas kwa mda mrefu sasa, toka mwaka 2008 ilikuwa inanisumbua nimejaribu kutibiwa na kushauriwa sehemu tofauti tofauti tena kwa gharama kubwa bila mafanikio, nikitibiwa inatulia kama miezi minne au mitano tena inarudi na inarudi sehemu zilezile ilipokuwa a wali na Mara nyingi huwa ni sehemu nne tu na kujirudia rudia Lila mara sehemu zenyewe ni hizo kwenye mabano (sehemu za siri yaani uume na korodani zake, mkononi karibu na makutano ya mkono na kiganja, kifuani karibu na titi la kulia na mdomoni tena upande wa kulia) na moja ya dawa nilizotumia bila mafanikio ni I.v fluconazole enjection na aina tofauti tofauti za vidonge vyenye kuchukua dozi hata ya mwezi mzm.

Dalili zake: Dalili zake siku zote hali hiyo inapotaka kujitokeza hufanana Lila mara , hizo sehemu husika panakuwa pa moto sana, huwasha sana, mwanzoni huwa kama pekundu kwa mbali, baadae huwa peusi na huvimba na kuonekana mithili ya sehemu ya ngozi iliyoungua kwa maji ya moto. Naomba msaada Tafadhali hat a kama kuna dakitari bingwa wa magonjwa hayo naomba contact yake. Naomba kuwasilisha.

Pole sana ndugu yangu. Nenda hopitali ya mission pale tegeta , ni wataalamu sana wa magonjwa ya ngozi utapona kabisa.
 
Pole sana ndugu yangu.
Nenda hopitali ya mission pale tegeta , ni wataalamu sana wa magonjwa ya
ngozi utapona kabisa.
Miss, hebu msaidie mleta mada jina la hiyo Hospitali na wengine wanufaike pia.
 
Tatizo lafangasi linamsumbua sana Mke Wa rafiki yangu nanimjamzito sijui kutakua na tatizo wadau
 
yes we have fermicare...itamtibu bila tatizo...pia ata wale wenye hili tatizo na ant fungas mfano cotrimazole zmefaili.fermicare ndyo jibu lao...calll me 0788676141
 
Mmh! Vitunguu saumu,dox,gynozol mwisho wa siku tunapata pilau majibu yalivo mengi!

kitunguu swaum ni dawa ya asili hazidhuriani na hizo za kizungu alizoambiwa,
nijuavyo mimi kitunguu saum unakimenya na kukitwanga kisha unakunywa kijiko kikubwa cha chakula kwa mwezi mzima mara moja kwa siku ni tiba nzuri sio fungus kwa bibi tu ni aina zote za fungus
 
yes we have fermicare...itamtibu bila tatizo...pia ata wale wenye hili tatizo na ant fungas mfano cotrimazole zmefaili.fermicare ndyo jibu lao...calll me 0788676141

iyo dawa ni ya hospitali au ni suppliment?
 
somo tosha tumia alovera hizi za asili kwa kupaka sehemu husika inayowasha hakika utapata nafuu si siku nyingi bila kusahau vitunguu swaumu
 
Nataka kuwaambia kua jamani home made ya maziwa mgando ni tiba tosha ya fungus.

Kwanza zipo nyingi kama vitunguu saumu na nyinginezo ila hii ya maziwa mgando its useful kwa kua pia maziwa hayo yana virutubisho muhimu kubalance ph ya uke wako na kuweka bacteria wazuri na kuondoa any type of thrush ukeni.

Jinsi ya kujitibu


Chukua maziwa yako y mgando yawe yawe yasio na sukari na wala sio yale yaliokua flavoured na chochote.


Paka sehemu iliyoathirika na tafta bomb dogo la mtoto la sindano jaza maziwa yako katika bomba lako kiasi kama kijiko kimoja cha chai kisiwe full sana.


Ingiza ukeni sukuma maziwa yako huko then hakikisha unafanya pale unapotaka kulala na pia yalobaki unashauriwa kunywa nayo pia inasaidia.

Hakikisha umepima umegundulika una fungus ndo utumie hiyo.
 
Mtindi hua ina bacteria wazur wakumaintain bakance ya ph huko uken na pia bacterua wazur kwa utumbo unapokua na ulaj mzur wa mtindi
 
Gynozol vaginal cream itamsaidia,anaingiza ndani ya uke na kupaka sehemu ya mashavu na pembeni chupi inapopita pande zote mbili (yaani kwa ndan) kwa siku saba. Usiku tu wakati amekoga na iwe ni muda wa kulala ili dawa ifanye kazi vizuri. Pia anywe maji kwa wingi na ahakikishe toilet ni pasafi kabla hajachutama. Vilevile asafishe uke kwa maji mengi na safi bila kutumia sabuni yoyote..ni muhimu kuvaa chupi kavu tena ikibidi iwe imekauka kwa joto la jua au anyooshe kwa pas na ahakikishe sehemu zake hzo amezikausha vizur wakat wa kuvaa kyupi.
Alipopewa dawa hospital (dox) ilitakiwa na wewe upewe ili mtibu tatizo kwa pamoja..i think it will help.


Nakutunuka cheti cha udaktari!!! big up mamii...

akifuata tu haya uliyosema hana haja ya kwenda hospital na fungus atazisikia kwenye bomba...
 
Back
Top Bottom