DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
MziziMkavu na mimi49 karibuni kuchangia jamani.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndg wanajf nina imani mko salama, mimi nina tatizo la fangas kwa mda mrefu sasa, toka mwaka 2008 ilikuwa inanisumbua nimejaribu kutibiwa na kushauriwa sehemu tofauti tofauti tena kwa gharama kubwa bila mafanikio, nikitibiwa inatulia kama miezi minne au mitano tena inarudi na inarudi sehemu zilezile ilipokuwa a wali na mara nyingi huwa ni sehemu nne tu na kujirudia rudia lila mara sehemu zenyewe ni hizo kwenye mabano (sehemu za siri yaani uume na korodani zake, mkononi karibu na makutano ya mkono na kiganja, kifuani karibu na titi la kulia na mdomoni tena upande wa kulia) na moja ya dawa nilizotumia bila mafanikio ni i.v fluconazole enjection na aina tofauti tofauti za vidonge vyenye kuchukua dozi hata ya mwezi mzm.
Dalili zake: Dalili zake siku zote hali hiyo inapotaka kujitokeza hufanana lila mara , hizo sehemu husika panakuwa pa moto sana, huwasha sana, mwanzoni huwa kama pekundu kwa mbali, baadae huwa peusi na huvimba na kuonekana mithili ya sehemu ya ngozi iliyoungua kwa maji ya moto. Naomba msaada tafadhali hat a kama kuna dakitari bingwa wa magonjwa hayo naomba contact yake. Naomba kuwasilisha.
Ndg wanajf nina imani mko salama, Mimi nina tatizo la fangas kwa mda mrefu sasa, toka mwaka 2008 ilikuwa inanisumbua nimejaribu kutibiwa na kushauriwa sehemu tofauti tofauti tena kwa gharama kubwa bila mafanikio, nikitibiwa inatulia kama miezi minne au mitano tena inarudi na inarudi sehemu zilezile ilipokuwa a wali na Mara nyingi huwa ni sehemu nne tu na kujirudia rudia Lila mara sehemu zenyewe ni hizo kwenye mabano (sehemu za siri yaani uume na korodani zake, mkononi karibu na makutano ya mkono na kiganja, kifuani karibu na titi la kulia na mdomoni tena upande wa kulia) na moja ya dawa nilizotumia bila mafanikio ni I.v fluconazole enjection na aina tofauti tofauti za vidonge vyenye kuchukua dozi hata ya mwezi mzm.
Dalili zake: Dalili zake siku zote hali hiyo inapotaka kujitokeza hufanana Lila mara , hizo sehemu husika panakuwa pa moto sana, huwasha sana, mwanzoni huwa kama pekundu kwa mbali, baadae huwa peusi na huvimba na kuonekana mithili ya sehemu ya ngozi iliyoungua kwa maji ya moto. Naomba msaada Tafadhali hat a kama kuna dakitari bingwa wa magonjwa hayo naomba contact yake. Naomba kuwasilisha.
Miss, hebu msaidie mleta mada jina la hiyo Hospitali na wengine wanufaike pia.Pole sana ndugu yangu.
Nenda hopitali ya mission pale tegeta , ni wataalamu sana wa magonjwa ya
ngozi utapona kabisa.
Mmh! Vitunguu saumu,dox,gynozol mwisho wa siku tunapata pilau majibu yalivo mengi!
yes we have fermicare...itamtibu bila tatizo...pia ata wale wenye hili tatizo na ant fungas mfano cotrimazole zmefaili.fermicare ndyo jibu lao...calll me 0788676141
Gynozol vaginal cream itamsaidia,anaingiza ndani ya uke na kupaka sehemu ya mashavu na pembeni chupi inapopita pande zote mbili (yaani kwa ndan) kwa siku saba. Usiku tu wakati amekoga na iwe ni muda wa kulala ili dawa ifanye kazi vizuri. Pia anywe maji kwa wingi na ahakikishe toilet ni pasafi kabla hajachutama. Vilevile asafishe uke kwa maji mengi na safi bila kutumia sabuni yoyote..ni muhimu kuvaa chupi kavu tena ikibidi iwe imekauka kwa joto la jua au anyooshe kwa pas na ahakikishe sehemu zake hzo amezikausha vizur wakat wa kuvaa kyupi.
Alipopewa dawa hospital (dox) ilitakiwa na wewe upewe ili mtibu tatizo kwa pamoja..i think it will help.